Habari njema wadau wa biashara!

G12

Senior Member
Aug 31, 2012
156
51
Wadau wote wa biashara hapa nchini Tanzania, China, Hongkong n.k , naomba mtembelee website(www.g12.hk) yetu kujionea kazi zetu tunazofanya.

Baadhi ya kazi zetu ni:

  1. Kutafuta bidhaa kulingana na mahitaji ya mteja
  2. Kudesign website, desktop and mobile applications
  3. Kusafirisha mizigo kutoka China kwenda Tanzania, na nchi nyinginezo
  4. Huduma za utalii na nafasi za masomo kwa wanaohitaji kusoma katika vyuo vikuu vya nchi ya China.
  5. Kutafuta watalii na kutangaza makampuni na utalii wa nchi za Afrilka kwa mataifa mengine.

Makazi yetu ni nchini China, katika miji ya Beijing, Shanghai, Yiwu , Guangzhou na Hongkong.
Tunakaribisha maoni na ushauri kutoka kwa wadau wote

G12 International Co. Ltd.
Web: http://ww.g12.hk
E-mail: info@g12.hk
 
Safi sana, hongereni.
Je kuna baadhi ya watanzania waliowahi kupata huduma zenu ambao wako tayari kutoa ushuhuda wa ubora wa huduma zenu?
 
Nimetembelea website yenu ni babkubwa. Ushauri wangu ni kama nilivyouliza hapo juu kuhusu testimonials. Zinasaidia kuongeza new customer confidence.
 
ZeMarcopolo, Hatupendi kusema uongo kama njia ya kupata wateja. Ukweli ni kwamba tulipoanza hatukuwa na webiste, so kila kitu tulikuwa tunafanya kwa njia ya simu na e-mail tuu. Tulipoungana na vijana wa nchi nyingine(Sirilanka, Kenya, Belarus n.k) tukaona tuwe na webiste ili kuwafikia wateja katika nchi mbalimbali. Hivyo basi hatujawahi kupata wateja kupitia webiste. Website imekuwa hewani kwa muda usiozidi wiki moja sasa.

Nachowezakusema bidha nyingi tunazouza hapa ni zile zile zinazopatikana katika masoko ili zitumiwe na wachina wenyewe, hivyo ubora wake uko juu sana, kuliko bidhaa zinaziingizwa huko nchini. Huu ni ukweli usiopingika, kwani tunajua A to Z ya bidhaa za hapa China.

Mfano mzuri, angalia TV ya Samsung iliyopo hapo kwenye website, bei yake ipo juu, hiyo ni Original, lakini ukitaka copy yake unapata kwa bei hata nusu ya hiyo,kasheshe ni kwamba haiuchukui round unaanza kuwa rafiki wa fundi. Kuna bidhaa kama Home theatre, tunachukua za kawaida sana, na zipo copy na original, lakini zote performance yake ni nzuri na hazisumbui kivile. Hivyo si kweli kila tunachouza hapa ni original, HAPANA, zipo copy na original. Lakini copy zetu tumezichunguza na tumezihakiki kuwa ziko poa.

Nachoweza kusema, ni kwamba tumekaa katika nchi hii muda mrefu, na tumeishi maisha ya uchinani zaidi,hivyo tunaelewa mengi juu ya ubora wa bidhaa zinazotoka na zinazobaki hapa nchini.

Nakaribisha maoni na ushauri kutoka kwa wadau.
 
Sawa mkuu, tuko pamoja...
 
OK,
So tunapatana bei mzigo ukiwa huko, but kuuleta bongo Bw. TRA anakukaba then bei zinakuja kua sawa na za huku tu!!

Walionaje hili??
 
  • Thanks
Reactions: G12

Mdau, sisi hatuwezikuweka bei za Tanzania, kwasababu tuna deal na nchi nyingi, hivyo kuweka bei ya kila nchi itakuwa ngumu kidogo.

Lakini, gharama za kusafirisha na kutoa mizigo Tanzania tunazijua vizuri, hivyo basi ukitaka tukusafirishie hatuna tatizo, wewe utakachofanya ni kwenda kwenye ofisi za huko Tanzania na kuchukua mzigo wako.
Napenda nikutoe hofu, gharama za kusafirsha na ushuru kwa njia ya meli ziko safi, huna haja ya kuogopa.

Unakaribishwa.

www.g12.hk
 
Wadau wote wa biashara hapa nchini Tanzania, China, Hongkong n.k , naomba mtembelee website(www.g12.hk) yetu kujionea kazi zetu tunazofanya.

Baadhi ya kazi zetu ni:

  1. Kutafuta bidhaa kulingana na mahitaji ya mteja
  2. Kudesign website, desktop and mobile applications
  3. Kusafirisha mizigo kutoka China kwenda Tanzania, na nchi nyinginezo
  4. Huduma za utalii na nafasi za masomo kwa wanaohitaji kusoma katika vyuo vikuu vya nchi ya China.
  5. Kutafuta watalii na kutangaza makampuni na utalii wa nchi za Afrilka kwa mataifa mengine.

Makazi yetu ni nchini China, katika miji ya Beijing, Shanghai, Yiwu , Guangzhou na Hongkong.
Tunakaribisha maoni na ushauri kutoka kwa wadau wote

G12 International Co. Ltd.
Web: http://ww.g12.hk
E-mail: info@g12.hk

Rekebisha hiyo kuna w moja imekosekana.
 
  • Thanks
Reactions: G12
Back
Top Bottom