HABARI NJEMA kwa wenye CD AUDIO, DVD,Vcd, MP3, MP4 N.K: KWA KUANZIA ITAKUWA MWANZA.

Sitachoka

JF-Expert Member
Nov 17, 2011
3,030
1,303
Ni habari njema kwa wenye vitu tajwa hapo juu, kuwa kuanzia mwezi May au June mwanzoni nitakuwa nasafisha hivyo vitu kama vilikuwa vina scratch haviplay miziki vzr basi tiba yake ya milele ina kuja toka Marekani ni kifaa maalum nitakuwa nakitumia toka huko Marekani chenye uwezo mkubwa wa kurejesha cd audio, dvd, vcd, mp3, mp4 katika hali yake ya mwanzo.
 
Aisee kama itakuwa kweli tutafurahi kwani habari ya cd ku scratch ni tatizo kubwa.
 
Ebwana hicho kifaa kikifika ututaarifu.tunasubiri kwa hamu. Nina DVD za documentary za maana sana kwangu, zinaplay zikikaribia mwisho zinaanza kuscratch na zina stack kabisa. Tunakusubiri.
 
Back
Top Bottom