Habari njema kwa mkoa wa Njombe na wana CCM wote !!!!!

....Ndani ya miaka 3 lazima kero muhimu zitatuliwe mara moja,Mh.Makinda ukisoma hapa nenda kachunguze nini kinakwamisha kumaliza hayo matatizo kabla mwaka haujaisha,pia MAKAMBAKO lazima stand ijengwe vizuri katika kiwango cha kimataifa...kwani ndiyo eneo ambalo itakuwa CENTER of Business in Southern Zone..wafadhili nawadau mbalimbali wana nia ya kupaendeleza ili kuharakisha miundombinu ya mkoa wa NJOMBE....Be ready for economic development !!!

kwa nguvu zenu za kutegenea kutoka kwa mwakipande na mwandulami?
 
....Ndani ya miaka 3 lazima kero muhimu zitatuliwe mara moja,Mh.Makinda ukisoma hapa nenda kachunguze nini kinakwamisha kumaliza hayo matatizo kabla mwaka haujaisha,pia MAKAMBAKO lazima stand ijengwe vizuri katika kiwango cha kimataifa...kwani ndiyo eneo ambalo itakuwa CENTER of Business in Southern Zone..wafadhili nawadau mbalimbali wana nia ya kupaendeleza ili kuharakisha miundombinu ya mkoa wa NJOMBE....Be ready for economic development !!!

Bahati mbaya sijajua jinsia yako, lakini nahisi wewe ni lesbian. Sisi wana Njombe hatuna mpango wa kutegemea wazungu kupata maendeleo. Rasilimali zote tunazo ila nyie magamba mmeshindwa kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji wa ndani mnapokea rushwa na kutubambikizia kodi kubwa. Tunangoja CDM ichukue nchi 2015 tuanze kuonyesha mavituz yetu.

Greenstar endelea kulipa fadhila kwa waliokutafutia scholarship huku sisi tunajipanga kuifanya CDM kuwa dira ya maendeleo yetu
 
Wasomi wote wanaungana na WABUNGE hao katika harakati za kuijenga NJOMBE mpyaaaaaaaa....SIASA za CHADEMA hazina nafasi kwa wanaNJOMBE....akitoka Mh.Makinda anakuja Mh.Manyika(CEO wa BARRICK),je CHADEMA ina wasomi gani wakuwasimamisha mwaka 2015? hatutaki poroja tunataka vitendo zaidi.....bado sisi vijana hatujatangaza nia bado tunapiga shule huku ughabuni...yaani huku ni mwendo wa masters na phd yote hii ni kwaajili yakuwatumikia wana NJOMBE na taifa zima !....Nikimuona NYIMBO natamani kutapika,anatia kichefu chefu alivyoyumbisha maendeleo katika halimashauri ya Njombe....Vipi zile biashara haramu ameacha???????????

Mnataka kuja kufanya research? aliyekwambia ili uwe mwanasiasa yakubidi uwe na Phd nani?
 
Bahati mbaya sijajua jinsia yako, lakini nahisi wewe ni lesbian. Sisi wana Njombe hatuna mpango wa kutegemea wazungu kupata maendeleo. Rasilimali zote tunazo ila nyie magamba mmeshindwa kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji wa ndani mnapokea rushwa na kutubambikizia kodi kubwa. Tunangoja CDM ichukue nchi 2015 tuanze kuonyesha mavituz yetu.

Greenstar endelea kulipa fadhila kwa waliokutafutia scholarship huku sisi tunajipanga kuifanya CDM kuwa dira ya maendeleo yetu

Ulukolokwitanga,

Point of correction, wafadhili sio lazima wawe wazungu nadhani umepitiwa kidogo
 
Povu ni kubwa lakini hakuna chenye mashiko ndugu Green Star na tena wewe haupo Njombe.Wewe huenda kule ukiitiwa furaha au huzuni- kwa lazima.CCM imefikia ENTROPY!yaani mfumo ulioko kwenye hatua muhimu za kufa,subiri uone
 
Umepewa bahasha ya kaka kuwaaminisha watu jamvini kuwa hao wengine wanafanana na Deo Filikunjombe! Endelea na kazi yako vyema
 
Ulukolokwitanga,

Point of correction, wafadhili sio lazima wawe wazungu nadhani umepitiwa kidogo
Hakuna maendeleo sehemu yoyote duniani yalikopatikana kwa ufadhili. Hebu zipitie vizuri Theories za Development. Lakini pia wana ccm wakiongozwa na JK wanazunguka kwa wazungu kuomba misaada na ufadhili. Kumbuka ndugu hatuongelei ufadhili wa ADA ya shule hapa, tunaongelea kujenga barabara na viwanda.
 
Bahati mbaya sijajua jinsia yako, lakini nahisi wewe ni lesbian. Sisi wana Njombe hatuna mpango wa kutegemea wazungu kupata maendeleo. Rasilimali zote tunazo ila nyie magamba mmeshindwa kuweka mazingira mazuri ya uwekezaji wa ndani mnapokea rushwa na kutubambikizia kodi kubwa. Tunangoja CDM ichukue nchi 2015 tuanze kuonyesha mavituz yetu.

Greenstar endelea kulipa fadhila kwa waliokutafutia scholarship huku sisi tunajipanga kuifanya CDM kuwa dira ya maendeleo yetu

pweint la kufa mtu.yaani nnjombe haikustahili kuwepo hapo ilipo,mbao,pareto,chai,kahawa,viazi(ndosa/matosani),ngano,numbu,apples,machenza,alizeti,mahindi,wattle,ulezi. Nilishangaa sana nikatamani hiyo ardhi na mvua ndio ingekuwa kule kwetu uchagani nahisi kila mtu angekuwa anamiliki mkoko na nyumba nzuri,lakini nenda njombe vijijini huko utachoka,wakenya wanajumua/kuknunua viazi kwa bei ya kutupa huku pembejeo zikiwa ghali. njombe ina ardhi hecta 47 elfu zinazofaa kulima kahawa,lakini ni hecta elfu 8 tu ndio inalimwa kahawa. No uhamasishaji unaofanywa wala mipango ya kuwasaidia wananchi inayofanya kwa kina,wananchi wanaishia kulima figili,numbu na nyanya,je zitawatoa kweli?
 
......unyalukwale wilya mafiiiiiiiiiiiiiiiii utike mkate??????????????????????? wake up and washup ur face b4 u reply on this context,sorry i thought u are mentally fit for opnions......

Mbona matusi greenstar kama ulikuwa unabugia ugimbi kule matalawe
 
Hakuna maendeleo sehemu yoyote duniani yalikopatikana kwa ufadhili. Hebu zipitie vizuri Theories za Development. Lakini pia wana ccm wakiongozwa na JK wanazunguka kwa wazungu kuomba misaada na ufadhili. Kumbuka ndugu hatuongelei ufadhili wa ADA ya shule hapa, tunaongelea kujenga barabara na viwanda.

Sikukubishia tatizo langu lilikuwa WAZUNGU basi vinginevo nakubaliana na wewe, huko wanakoenda kuomba misaada mbona hatuoni direct impact kwa waTz? Mi nadhani hiyo mizunguko haina tija
 
Sijui mtoa mada anazungumzia Njombe ipi, pengine ni level ya familia. Njombe yetu ninayoijua mmmh!
 
Jamani huyu Green nyota ni mgonjwa,unaongelea ccm ktk mkoa wa njombe? Mbona ndo tunamlizia matanga!
Pole yako ndg utachekwa hadi na watoto.wenzio siku hizi hata kuvaa hata manguo
ya kijani hawawezi maana ni aibu kupita nayo mitaani.



ya
 
Nifuraha ya kipekee kuona Mkoa Mpya wa NJOMBE ni unapaa katika medali za kisiasa na kiuchumi baada yakuwa na WABUNGE MAKINI kutoka CCM wenye taaluma na uzoefu uliotukuka katika kuhamasisha maendeleo.Ukizingatia tuna MKUU wa MKOA mchapakazi asiyependa porojo hakika NJOMBE itapaa sana katika ukanda wa KUSINI nakuwa kitovu cha UCHUMI kutokana na rasilimali zilizopo kama MCHUCHUMA na LIGANGA,MISITU ya MBAO,CHAI,PARETO,ALIZETI na MAHARAGE yanatosha kugeuza mkoa huu kuwa kitovu cha uchumi.

Pongezi za dhati kwa wabunge hawa;

Mh.Deo Filikunjombe
Mh.Anne Makinda
Mh.Eng.Gerson Lwenge(NW UJENZI)
Mh.Dkt.Binilith Mahenge(NW MAJI)
Mh.Jah People

Hawa viongozi pamoja na MKUU wa MKOA Mh.Msangi wataleta mapinduzi ya maendeleo kwa kutumia taaluma zao na uzoefu katika kazi,Rai yangu kwa WANANJOMBE wote,tuwape ushirikiano katika kuharakisha maendeleo ya MKOA wetu.

Pia tuache kuyumbishwa na propaganda za wanasiasa UCHWARA kama NYIMBO eti ataleta maendeleo? Wananjombe si VIPOFU wala si VIZIWI wala si ZEZETA kana kwamba NYIMBO ni mgeni katika siasa za NJOMBE,alipata nafasi miaka 10 huko nyuma akasahau wajibu wake wakuwatumikia wananchi akawa nachumia TUMBO,wanaCCM wamegundua JANJA yake anakimbilia CHADEMA,salamu zake,ASAHAU kurudi kutawala tena na NJOMBE ina watu makini na WASOMI wanaojua ukweli wa mambo.

Kisa cha kweli ninachokikumbuka,alinunua PIKIPIKI 25 ili awape VIJANA wake wakati wa kampeni akiamini atashinda UBUNGE,kwa bahati mbaya alishagawa chache kwa viongozi kadhaa,lakini aliposhindwa aliwaiita wote NYUMBANI KWAKE akiwadanganya anafanya SHEREHE ya KUJILIWAZA na kujipanga UPYA kwa uchaguzi UJAO...wale watu wakaenda na mbwembwe zao na PIKIPIKI za HONGO walipofika akawageuzia KIBAO na KUWANYANG'ANYA Pikipiki zote !
Huyu ndiyo NYIMBO yule mjanja mjanja ambaye anahangaika kurudi kwenye SIASA,pole sana bw.NYIMBO kwa kufulia hadi unaamua kunyang'anya pikipiki za MCHINA zenye thani ya Mil.25.

Kama wewe mjanja fufua chama chako cha PONA ili uone siasa siyo poroja bali UTENDAJI.....tunafahamu unavizia kuwa Mnykt.wa CHADEMA kwa vile huna kazi ya kufanya....sasa hivi umewajengea kibanda cha OFISI pale WANGING'OMBE na kukibatiza ofisi za CHADEMA mkoa wa NJOMBE,imekula kwako kwani hutaweza kunyang'anya pale watakapo kupiga chini kama ulivyotupwa na CHIKU ABWAO katika MKOA wa IRINGA.
\
Nakushauri nunua trekta ulime KARANGA na alizeti ili tudumishwe UCHUMI wetu badala ya kuzunguka vijijini ukifungua matawi hewa na kutumia mitandao ya KIJAMII na magazeti wakusifie kwa habari za kufikirika.

Wananjombe msidanganyike na huyu NYIMBO,ameshahujumu shule za WAZAZi za WANGING'OMBE na MTWANGO hadi zikashuka kitaaluma kwa ulafi wake,barabara hazipitiki,na miradi ya umeme ilikwamishwa na yeye baada ya YONO kumshinda katika UCHAGUZI...kwa ufupi anataka kuwatapeli tena...basio msipoteze muda wenu kuhudhuria mikutano yake...Ukisikia anakuja basi wewe wahi shambani au kazini kwako ukijitafutie riziki yako....Tufanye kazi kwa bidii ili tupate maendeleo yetu na familia zetu.Kuwa MBUNGE siyo suluhisho kama hakuna nia ya dhati kuwatumikia wananchi.

SIASA za NJOMBE si za kishabiki kama mikoa mingine,tunahitaji watendaji makini ambao tayari tunao wakutosha ambao wapo tayari kushirikia na WABUNGE wao !!!!!!!!

Nawassilisha


Mkuu huko kwenu naona uko wewe na hao jamaa zako na wana CCM hakuna watanzania wengine kwa mujibu wa bandiko lako umeacha kuwataja watanzania umelia na mafisadi wenzio ?So wale wasio ipenda CCM huko Njombe hawana nafasi ?
 
Mambo ya Greenstar na chuki binafsi dhidi ya Nyimbo. Ni lini ulichguliwa kuwa msemaji wa Wana Njombe? Akili za kuambiwa changanya na zako.... Kalaghabaho Mdimi!!!! Chezea Nyimbo wewe?
 
kaz kunywa ulamzi tu majitu ya njombe yananikela pind za uchaguz ukiyahonga ulanz yanakupa kula shame on magamba ndo maana tumekuwa masikin angalia makete makete mpaka huruma da inauma saaana CDM KWA UKOMBOZI
 
Kama THOMAS NYIMBO hakuleta maendeleo Njombe Magharibi nani aliyeleta: umeme vijiji vya Igwachanya mwaka 2004? Barabara ya rami kutoka Halali mbaka Ilembula Hospital? Madaraja yanayounganisha vijiji tofauti likiwepo la Matowo Ilembula? Nyimbo alikuwa mkali hata upande wa afya na elimu ndiyo maana waganga wa vituo vya afya vya Palangawanu walihamishwa na wakuu wa shule za msingi Kijombe walihamishwa pale walipofanya madudu! Mapungufu ya NYIMBO ilikuwa ni matusi tu.

Tukija upande wa ANNA MAKINDA hajafanya lolote hapo Njombe hata barabara moja haina lami hata ya kudanganyishia ukiachilia mbali barabara ya kutoka Mapato hadi Soko kuu nyuma ya kanisa Katoliki.Pamoja na Njombe kuzungukwa na rasilimali maji lakini mji wa Njombe unauhaba wa maji mkubwa kabisa. Hebu nenda upande wa usafiri mtu kama hana hela ya taxi hawezi kufika Kibena Hospital kutoka Njombe mjini kwa sababu daladala zilipigwa marufuku kwa shinikizo la wakubwa. Leo hii Yakobi hakuna maji wala umeme nyumbani kwa Anna pamoja na kwamba nyaya zimepita karibu kutoka Uwemba kwenda Luponde.

ANNA MAKINDA, Mayor Edwin Mwanzinga na Nguvila mwenyekiti wa halmashauri hebu mjiulize kwa nini huyo Mkurugenzi Mohamed Mkupete pamoja na watendaji wengine wa mji na wilaya wanautajiri mkubwa hivo?

Huu ni wakati wa kuweka pembeni itikadi za kichama na kuona wale waliopewa dhamana basi wanawajibika ipasavyo siyo kuendelea kuwaweka watu wanaotegemea eti watoe hela zao za mfukoni(Deo Sanga a.k.a Jah People) badala ya kusimamia utendaji wa serikali.
 
wewe ni kinyesi changu......usijaribu kujifanya unaweze kutukana kama Lusinde hapa nitakupoteza changia hoja....NJOMBE tunataka maendeleo siyo propaganda eti UKOMBOZI? halafu maendeleo afanye nani????? tusiwarubuni wananchi.
Mh.Msangi piga stop mikutano ya kijinga yote...isipokuwa katiba ipewa kipaumbele ili tujenge sheria kali za kuwabana mafisadi ambao wapo hata CHADEMA,CUF,NCCR,TLP...mafisadi si ndani ya CCM tu bali ni kila kona tutabomoa na kuisambaratisha ngome ya mafisadi......
greenstar Umenilazimisha kulog in JF kwa sababu ya upuuzi wako....toka lin wananchi wa njombe tumekuchagua utukane watu hivyo....we ni jamii ya kina Lusinde....matusi kwenu chai....kwa taarifa yako wananchi wa mkoa mpya wa Njombe tumesha amka tumetambua uozo....hatuta kubali hadi kieleweke
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom