Habari njema kwa jf members wa mkoa wa kigoma na wilaya zake, kasulu na kibondo.

Wa kusoma

JF-Expert Member
Jul 30, 2011
3,454
2,975
Baada ya kuwa masomoni nje na mkoa wangu wa kigoma sasa nimerudi nyumbani.
Jana nilikuwa KIBONDO nimepata wasaa mzuri wa kukutana na jf member wa pale na jioni tulikuwa maeneo ya kumwelulo kuna hotel moja inaitwa CHEYO MOTEL, tulienda kuenjoy kule aise sikuamini kama kuna sehemu nzuri kama zile KIBONDO iam proud of it.
Leo nitakuwa KASULU washkaji hawajanipangia tukatumie wapi lkn baada ya vijana wangu wa usalama kukamilisha shughuli yao nitatoa ripoti tuonane wapi, mkazi wa KASULU endelea kufuatilia uzi huu ili ujue km tutakutana wapi au waweza pendekeza.
Kesho j2 ndani ya manispaa ya KIGOMA UJIJI, tayari vijana wangu washafika kule kuandaa mazingira wapi panafaa je ni MASANGA GARDEN, KIZOTA, WEBSITE, BREAK POINT, METCLUB, LAKE TANG, KIBILIZI au wapi. Plz mkazi wa kigoma njoo ukutane na wanajf wenzako pale tutabadilishana mawazo na kuambiana nn kifanyike kuendeleza mkoa wetu. Hautalazimishwa kutaja ID yako ya JF.
Nawasilisha wakuu.
 
kwa nini unatumia vijana wa usalama mkuu?una wasiwasi gani?wana jf hatuvunji sheria za nchi bali tuna share info za taifa letu
 
Nilivyosikia habari njema nikajua la ....asante mie niko ujiji tutawasiliana ukifika
 
Samahani kwa wakazi wa kasulu nimepitiliza mpaka kigoma, labda wiki ijayo naomba jamani JF member wa kigoma mjini leo tuonane pale masanga garden ukumbi wa nyuma mida y ampira nitakuwa pale kuanzia saa nane. Plz kinywaji ni juu yako cc tunakuja kufahamiana tu.
 
Bandugu tayari nimeshafika nyumbani sasa tuonane masanga basi mida ya mpira au vp?
 
Twalamuse, kandi bhose bhalakomeye. Niko hapa masanga garden ukumbi wa nyuma naangalia mpira wa arsenal vijana mmeniangusha sijapata member hata m1, misosi hii sijui atakula nani.
 
Twalamuse, kandi bhose bhalakomeye. Niko hapa masanga garden ukumbi wa nyuma naangalia mpira wa arsenal vijana mmeniangusha sijapata member hata m1, misosi hii sijui atakula nani.

Njoo Faith bwana; nani aende huko masanga? Utanikuta nimevaa nguo na viatu; nywele nimeweka karikiti! Kinywaji na mbuzi choma juu yangu!

Tupo na Preta; she looks real pretty; yeye ndio anahudumia vinywaji.
 
Asante sana kaunga, sasa unajua mm sio mwenyeji sn hapa kigoma nimefikia maeneo ya veta huku ndoo maana nikaenda kuangalia mpira masanga. Kama vp ni pm namba yako nikutafute kesho.
 
Check na Preta ndiye anayeratibu mambo yote; kesho kama haitarain tutakuwa golden beach resort! Karibu!
 
Mkuu mbona hukusema mapema? Mimi nipo hapa kanyamahela. sasa hivi nasubili jua lipungue niende zangu nengo kucheza mpira huku nikichungulia totoz za nengo secondary. kesho naenda zangu kasulu kule juu..!! panaitwa kabanga. halafu jumatano ndo ntakuja hapo ujiji. napenda pale break point lakini huwa kuna matope yananasa kama ugali wa muhogo so ntakuja nmevaa buti aina ya BOVA. one day nilikuja nmevaa NYATI sole ikabaki. safari hii nakuja kivingine. tukutane pale. burocha. Mia
 
Back
Top Bottom