HABARI ni hii, 79% ya wanandoa wana uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa..

I beg to differ hapo kwenye red. Uzinzi uko kwenye ndoa peke yake. Nje ya ndoa hakuna uzinzi bali kuna uasherati.

Kuna tofauti kubwa sana kati ya mzinzi na muasherati.

Wakuu hapa nadhani mnaongelea 'adultery' na 'fornication'. Kwa wenye imani za dini ni kweli kuna tofauti.
 
Ukiugua hoi bin taabani nani atakusaidia?acha imani potofu wewe au hauna wazazi nini?

Kichomi umeniacha hoi,hapo kwenye red hapo,ina maana unapooa basically unatafuta nurse wa kukutunza uzeeni yaani kama ka insurance flan hivi? sio kwamba unaoa kwa ajili ya furaha ,amani,upendo,companionship na utulivu wa leo katika maisha yako? Nani anaujua future itakuwaje?
 
Niweke wazi, among 11 married women, watatu walijilengesha kwangu seeking sexual relationship and misaada, 1 said no when i approached her, 7 agreed for my request to start relationship, i am single, employee & self employed, those 11 si kana kwamba wana shida sana, laa, na ninakiri 4 kati yao wana uwezo kunizidi,
I know they follow my appearance, i slept with no one, ila hali ni mbaya, Ndoa ndoano, tuilinde, mmhhh.....!!!!
 
Mipaka ya uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa inaanzia na kuishia kwenye nini? Kwenye kufanya tendo la ndoa? Kuwasiliana na wapenzi wa zamani? Kuchombezana maneno ya kimapenzi? Manake kuna wengine hawaoni ubaya wowote kuongea na wapenzi wao zamani, tena yale maongezi ambayo wenza wao wakiyasikia hawatafurahia lakini utetezi wao ni kwamba kwa vile hawakazani basi hakuna ubaya wowote.
 
I agree na mtoa mada,lakini sababu kubwa ni kwamba mwanamke mmoja anachosha,ni muhimu kuonja na radha zingine.
 
Nafikiri kuna sababu kuhusiana na hili... tukichululia kigezo kwanba wanandoa wengi wanasaliti ndoa zao kuna kitu fulani kinasababisha. Utafiti ulio mdogo wadada wengi siku hizi upenda watu walio kwenye ndoa. Hapa tukubaliane kwamba wakina MSWATI tupo wengi isipokuwa ni kwamba MSWATI mwenyewe ndo katangaza hadharani kwamba anaoa kila kukicha.
Maambukizi yanakuwa mengi kwa wanandoa kwa sababu wengi wao wanajiusisha na wasio kuwa kwenye ndoa au wapenzi wao walio kuwa nao kabla ya ndoa. Hata wewe unaeshadadia kwamba wana ndoa wanasaliti ndoa. Subiri wakati ufike uone kama utaweza kuwasahau waliopita.Personally I dont belive in monogamy!!!! sure it doesnt work...... lazima uwe na vidumu angalau viwili.. ila masharti na vigezo lazima vigingatiwe ( CONDOM USE)
 
ndo maana sitaki kuoa, 82% ya waathirika ni wanandoa.....usiniulize source do a simple research.[/Mi mwenyewe bado niko nje ya uwanja ila nikiangalia walioko uwanjani ctamani kuingia maana mmh! raffu mtindo m1:A S 39:
 
dawa ya mwanamke anayetoka nje ya ndoa ukimkamata na ushahidi ukawa nao muda huo huo anapaswa kuomdoka kwako
 
Mipaka ya uhusiano wa kimapenzi nje ya ndoa inaanzia na kuishia kwenye nini? Kwenye kufanya tendo la ndoa? Kuwasiliana na wapenzi wa zamani? Kuchombezana maneno ya kimapenzi? Manake kuna wengine hawaoni ubaya wowote kuongea na wapenzi wao zamani, tena yale maongezi ambayo wenza wao wakiyasikia hawatafurahia lakini utetezi wao ni kwamba kwa vile hawakazani basi hakuna ubaya wowote.

Hapo kwenye rangi ni shughuli nzito sana. Unaongea na mpenzi wako wa miaka chungu nzima na ilhali wewe ni mke/mume wa mtu mnaongea nini hasa? Hivi karibuni jamaa yangu alikuwa na varangati la kukata na shoka baada ya kugundua namba ya nje ya nchi katika simu ya mkewe na alipodadisi kwa mkewe akagundua ni njemba iliyowahi kuwa na binti miaka ya nyuma. Alimsemea hovyo mkewe na pia kumpigia jamaa na kumtukana sana.

Jamaa alikuwa na nafasi ya kumuoa binti lakini alidai wazazi wake (njemba mbongo) wasingekubali kwa sababu yeye huyo jamaa ni wa rangi nyingine na binti ni mmatumbi.
 
Hivi karibuni jamaa yangu alikuwa na varangati la kukata na shoka baada ya kugundua namba ya nje ya nchi katika simu ya mkewe na alipodadisi kwa mkewe akagundua ni njemba iliyowahi kuwa na binti miaka ya nyuma. Alimsemea hovyo mkewe na pia kumpigia jamaa na kumtukana sana.

Haya mambo bana. Ila mimi sijui nikoje tu. Katika hali kama hiyo wala nisingehangaika kumpigia simu huyo jamaa. Ningedili tu na huyo mwanamke. Lakini kila mtu ana njia zake za kudili na mambo na yeye hivyo ndivyo alivyoona inafaa.

Sioni sababu ya kupiga simu na kuitukana hiyo njemba. Huyo mwanamke kama kweli hataki kuwasiliana na huyo wake wa zamani, then the ball is/was in her court no matter who initiated the communication. Na pengine utetezi wake ulikuwa 'we are just friends', 'you are just insecure, there is nothing going on between us anymore' na upuuzi upuuzi mwingine kama huo.

Mlioko kwenye ndoa poleni sana.
 
n
What come first in ur mind utaniuliza SOURCE...!!
Go n search, do simple study ya wanandoa uwajuao, hudhuria semina mbalimbali za HIV/AIDS, etc, so up to 79% ya wana ndoa either both or one of them anauhusiano nje ya ndoa hapa TZ, na mostly married men, ambao ndio hadi 60% wana wenzi nje ya ndoa, je ww uko wapi? Are u safe? Hii ina maana 21% au pungufu ndio waliowatiifu kwa ndoa zao, na chanzo KIKUU, kiunganishi cha mahusiano nje ya ndoa ni SIMU, ukiwacha tabia, simu, simu, kazi kwenu.

Kuna mambo mawili...

Mosi.. Mtoa mada ni HIV + na inawezekana mkewe amekwisha tangulia mbele ya haki (RIP)

Pili .. Ni mume b.w.e.g.e!
 
Haya mambo bana. Ila mimi sijui nikoje tu. Katika hali kama hiyo wala nisingehangaika kumpigia simu huyo jamaa. Ningedili tu na huyo mwanamke. Lakini kila mtu ana njia zake za kudili na mambo na yeye hivyo ndivyo alivyoona inafaa.

Sioni sababu ya kupiga simu na kuitukana hiyo njemba. Huyo mwanamke kama kweli hataki kuwasiliana na huyo wake wa zamani, then the ball is/was in her court no matter who initiated the communication. Na pengine utetezi wake ulikuwa 'we are just friends', 'you are just insecure, there is nothing going on between us anymore' na upuuzi upuuzi mwingine kama huo.

Mlioko kwenye ndoa poleni sana.

Nakubaliana nawe NN, lakini kwenye swala la mapenzi binadamu tunatofautiana sana katika kushughulikia matatizo kama haya. Wengine hawataona sababu ya kumtukana huyo njemba bali kasheshe itakuwa kati yake na mkewe/Girlfriend tu, lakini wengine huweza hata kutaka kupigana na njemba na hata kuwa na dhamira ya kuua.
 
Mimi ni mmoja wa wale wanao deal na pande zote aisee. maana unaweza sema uongee na wako tu kumbe ni kichwa ngumu. Sasa ukiongea na wa nje pia na kuchimba beat wengi wanaogopa aisee hawarudii tena. Hamna balaa kama mtu akuwakie unasogelea wife au mume wake. Lazima uogope aisee. Kwa hiyo kudeal na huyo jamaa ilikuwa poa kabisa especially kama huyo wife alimwambia hubby wala hajali ni mdhungu tuendelee kuwasiliana tu.

Vipi kama mzizi wa tatizo ni huyo mtu wako? Maana leo utamkoromea yeye na huyo mwenzake...kesho huyo mtu wako atakuwa na mwingine tena maana yule wa jana tayari ushamchimbia biti na yeye huenda kaamua kutafuta ustaarabu mwingine. Mwisho wa siku utakoromea wangapi? Huoni kwamba hapo tatizo kuu unalo mikononi mwako?

Wengine tunapenda kudili na tatizo kuliko by-product ya tatizo.
 
Mr. President, hakuna dhambi yenye unafuu. Hata hivyo, siongei sana maana sipo kwenye ndoa. Waliokwenye ndoa watatuambia kwa uhakika kwa nini wanatoka na manati kulenga kuku na njiwa nje wakati kuku wao wapo ndani na hawana usumbufu wowote?

Ni suala la kisaikolojia zaidi, mtu akikaa na mwenza kwa muda fulani kuna tendence ya kukinaiana na kujiona hana hamu ya kukutana naye kimwili au hata kuwa na mazungumzo matamu naye. Washauri nasaa na wasuruhishi wa ndoa au mahusiano huwa wanajaribu sana kusaidia kinadhalia zaidi lakini kwakweli ni maumbile tu amabayo kushindana nayo ni kazi kubwa. A human being is a begging animal ndio maana wanasemaga mwanadamu yake sanda vinginevyo hatosheki, leo atakula pilau kesho wali keshokutwa biliani mtondogoo ubwabwa, lakini mchele ni ulele hatosheki mpaka abadilishe mapishi!
 
Niweke wazi, among 11 married women, watatu walijilengesha kwangu seeking sexual relationship and misaada, 1 said no when i approached her, 7 agreed for my request to start relationship, i am single, employee & self employed, those 11 si kana kwamba wana shida sana, laa, na ninakiri 4 kati yao wana uwezo kunizidi,
I know they follow my appearance, i slept with no one, ila hali ni mbaya, Ndoa ndoano, tuilinde, mmhhh.....!!!!
Mkuu kuna element kubwa sana ya facts hapo kwenye post yako

siku hizi heshima ya ndoa imekwisha, imebaki kweli kupeana pesa ya kula, rent na kubadili jina la ubini tu

both men and women hatuna respect kabisa... where i work, i think 80% of married women do cheat, and it can be proven
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom