Habari ndo iyo

Kubabaikia wazungu.........

Sasa mkuu kitu gani kimekufanya ufikirie kuwa wazungu wanababaikiwa hapo!??? picha!?? huyo dada ni binadamu kama wewe na amepigwa picha kuashiria kuwa chadema imekomaa sababu hana origin ya kitanzania hivyo angeweza kuwa mtutu yoyote ambaye si mtanzania, infact angeweza kuwa mmarekani mweusi au mzimbabwe just to show the loove with Chadema na hababaikiwi mtu hapo. Wanaobabaikia watu ni CCM kwa kuingia mikataba na wazungu matapeli na kufuja mapesa huko west au kikumbilia huko au kupeleka familia zao huko kwao baada ya kufisadi!! Thanx Maria Roza! n blesss!!
 
Why is it so difficult to see the obvious?

BTW, kuna mtu hapo juu anasema ati akikutwa na CCM anaeza rudishwa kwao..Yes atarudishwa kwao kwa sababu she deserves it. Mgeni anapokuja nchini anakubali kufuata sheria za nchi, kama hayupo radhi njia ni nyeupe aende anakotaka. Sheria za nchi zinahitaji mgeni asishiriki kwene mchakato wa siasa..its simple and straight forward. Hakuna mjadala ktk hili.
 
Ndugu;

Hi picha imetulia sana.

Embu itume kwa magazeti yoye kama inawezekana , uweke na caption (maelezo kidogo), ili iwaonyeshe CCM kuwa Wapambanaji wanatokea hadi Ulaya na hawaogopi 'Wapindua kura...! Ila mwaka huu hakuna kupindua, wabakie na Mapinduzi yao moyoni wanaugulia kichapo cha Dr Slaa!

"Y" ndio lugha ya Taifa kwa sasa na ipo moyoni mwa kila mtanzania na mgeni anayewasili hapa hii inamwingia hata pasipo kubebwa katika magari ya kampeni kama wafanyavyo hao waoga! YES, PAMOJAH DAIMA!
 
attachment.php

attachment.php

View attachment 15559View attachment 15560

Pamojah tunawakilisha Chademaaaaaaaaaaaaa:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:

-------------------------

Ndugu;

Hi picha imetulia sana.

Embu itume kwa magazeti yoye kama inawezekana , uweke na caption (maelezo kidogo), ili iwaonyeshe CCM kuwa Wapambanaji wanatokea hadi Ulaya na hawaogopi 'Wapindua kura...! Ila mwaka huu hakuna kupindua, wabakie na Mapinduzi yao moyoni wanaugulia kichapo cha Dr Slaa!

"Y" ndio lugha ya Taifa kwa sasa na ipo moyoni mwa kila mtanzania na mgeni anayewasili hapa hii inamwingia hata pasipo kubebwa katika magari ya kampeni kama wafanyavyo hao waoga! YES, PAMOJAH DAIMA!
 
Why is it so difficult to see the obvious?

BTW, kuna mtu hapo juu anasema ati akikutwa na CCM anaeza rudishwa kwao..Yes atarudishwa kwao kwa sababu she deserves it. Mgeni anapokuja nchini anakubali kufuata sheria za nchi, kama hayupo radhi njia ni nyeupe aende anakotaka. Sheria za nchi zinahitaji mgeni asishiriki kwene mchakato wa siasa..its simple and straight forward. Hakuna mjadala ktk hili.

Unajuaje kuwa huyo sio raia wa TZ (mgeni), kwa sababu ni mzungu?
 
Chadema wamegeuza JF kuwa their campaigning ground, I feel sorry bse chadema will end up loosing the presidency n u all guys I can see u will breakdown n cry like a child. OOOHHHHHHh I m really sorry 4 u.:dance:
brown bread!! CRAP
 
Back
Top Bottom