Unstoppable
JF-Expert Member
- Jan 7, 2011
- 1,046
- 384
Wana jf siwawezi. Maoni yasiwe ya upande mmoja tu. Tufanyie utafiti kwanza
Hapana mkuu. JF sio wote CDM, mi ningemuomba NAPE afanye kitu simple kabisa. Tell us kwa kipindi hiki cha miaka mitano strategies zilizowekwa zakuwaondolea wana Sumbawanga matatizo yao, mambo yaliyokwisha fanikishwa so far, challenges wanazozioana na suggestions. Aachane na malumbano hiyo sio solution ya matatizo yetu. Hatuwezi kuwa-hold CDM responsible kwasababu wao so far ni wapinzani sio chama tawala.