Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
unahamasisha mgomo halafu unafanya kosa kama hapo kwenye red!!!
nakushauri wewe na wenzako wa mwaka wa tatu muanzishe mfuko wa kusomesha wadogo zenu,kama mwaka watatu katika fani zote na vyuo vyote nchini wakichangia huu mfuko mtaweza kusomesha japo mwanafunzi mmoja na baada ya miaka mitano mtaweza kusomesha wanafunzi 30.ili mfuko uwe endelevu basi wanaokopeshwa watarejesha kwa riba nafuu.tuache kufikiria maandamano kila siku tuchangamshe vichwa hasa sisi wasomi.maandamano tuwaachie wamachinga na wanaappolo.
umeanza kuchangia kwa kichwa ila mwisho umemalizia kwa masaburi,maandamano ndio fimbo ya mnyonge ya kudai haki,haijalishi ni msomi,mmachinga au nani,hata huko kwenye nchi zlizoendelea mfano uingereza,wanafunzi na wasomi toka vyuo vyenye heshima kama oxford huwa wanaandamana pindi wanapoona serikali inafanya mambo ya ajabu ambayo yanalenga kuhatarisha wao kupata fursa muhimu kama elimu.so jiangalie mkuu,sio unakurupuka tu kama hawa watawala wa magamba.over