Habari mbaya na mbaya zaidi

Mbimbinho

JF-Expert Member
Aug 1, 2009
8,313
7,728
Dokta: Samahani nina habari mbaya, na nyingine mbaya sana kwako
Mgonjwa: Dah! haya nieleze hizo habari mbaya .
Dokta: Majibu ya vipimo vyako yametoka. Inaonekana una masaa 24 tu ya kuishi.
Mgonjwa: MASAA 24 TU?, he sasa kuna baya zaidi ya hilo? Hilo baya sana ni lipi?
Dokta: Nilikuwa nikupe hii habari jana, lakini tulikuwa kwenye mgomo
 
Huyo dokta anachekesha.Eti alitakiwa ampe hizo habari za kifo jana yake! Mbona mpaka sasa mgonjwa yu hai hajafa?
 
Back
Top Bottom