Habari mbaya kwa wanaotoka nje ya ndoa zao

redSilverDog

JF-Expert Member
Sep 18, 2010
470
76
Uchunguzi umebaini wengi wanaokufa kwenye tendo la ndoa kutokana na mshituko wa moyo ni watu ambao wametoka nje ya ndoa.
 
Uchunguzi umebaini wengi wanaokufa kwenye tende la ndoa kutokana na mshituko wa moyo ni watu ambao wametoka nje ya ndoa.

Mhhh!...mbona yule daktari aliyekuwa anatokea visiwa vya Pemba, JIMBO LA wawi , na alipata kuwa makamu wa rAHISI alikuwa na Mkewe, na akapata mshituko kama huo, na ikawa ndo mazima?
 
uchunguzi huo kafanya nani?.. AU SYNOVATE?? ...acha kuwatisha watu weweee...sahivi wooote wanatoka nje ya ndoa...walooa na hata wasooa au kuolewa woooote wana-chit... na kama ulikuwa hujui "HABARI NDO HIOOOOO"
 
WHY MEN DIE ON TOP DURING SEX?
February 2, 2007 - 06:20 PM

One may not be able to appreciate how sudden death occurs during sex without first understand the way the body controls the Exciting phenomenon of Erection and Ejaculation.
For a man to attain sexual excitement, both erection and ejaculation must be effective.However, the body system controls these two activities differently.Virtually all the actions occuring in the body are under the control of the brain.The brain sends its messages to the target organ through a wire like network called the Nervous system.
The nervous systen is made up two different pathways. Parasympathetic and sympathetic Nervous pathway. In the subject of reproduction, the parasympathetic nerves initiate and maintain erection.On the other hand Ejaculation is controlled by sympathetic nervr system, which also controls the actions of the heart and blood vessels.

HOW SUDDEN DEATH OF MEN OCCURS DURING SEX.
Sudden death occurs due to mal or misinterpretation of messages {electric impulse} that get to the heart following over activity of the sympathetic nervous system actions on the heart and blood vessels.Sudden death during sex occurs as a result of Cardiac Arrest.

FACTORS THAT LEAD TO SUDDEN DEATH.

Sexual Greed. Stuides done have shown that about 85% of men that died on top, died outside their homes,mainly in hostels and most of them died on top of women who were never their wives.eg prostitutes,girlfriends etc.

Use of Sex Stimulating Drugs. Sex drugs like Viagra, which is most popular,have a common mechanism of action.They cause erection by increasing the level of nitric oxide,which is a powerful vasodilator.The drugs increase penile blood flow and thus erection

Heart disorders. Cardiac problems and other debilitaing metabolic health conditions can predispose to cardiac arrest during sexual intercourse.
BE CAREFUL SO U'LL NOT DIE ON TOP.

http://discuss.tigweb.org/thread/19699
 
Use of Sex Stimulating Drugs. Sex drugs like Viagra, which is most popular,have a common mechanism of action.They cause erection by increasing the level of nitric oxide,which is a powerful vasodilator.The drugs increase penile blood flow and thus erection

http://discuss.tigweb.org/thread/19699


Kazi kwenu wazee wa Erecto-100.

Mumeisikia hiyo?

Unamkimbia mkeo. Unakwenda kuonesha umwamba kwa kimada kwa kumeza 'pipi'. Ili uonekane kidume (kumbe mla chipsi mayai tu).
 
Endelea na utafiti.....mhhh sijui kuna ukweli hata sielewi mimi:confused2: no proof
 
hayo ni magonjwa ya moyo.kuna program nilikuwa naangalia,sikumbuki jina la huo ugonjwa,lakini unatokana na moyo kupata mshtuko wa ghafla.Either mshtuko huo uwe wa furaha au wa huzuni.Tatizo hilo linasababisha kifo.Kuna kijana mmoja alikuwa na matatizo hayo,yeye alifariki kwa kuangalia porn.Na kuna watoto wadogo wana matatizo hayo,walionyeshwa kwenye t.v,wazazi wao hawawaamshi asubuhi,mpaka waamke wao wenyewe,kwani hawatikiwi kushtushwa na kitu chochote kile.Na sio rahisi kujua kama una tatizo mpaka ufanye medical check up.
 
Mhhh!...mbona yule daktari aliyekuwa anatokea visiwa vya Pemba, JIMBO LA wawi , na alipata kuwa makamu wa rAHISI alikuwa na Mkewe, na akapata mshituko kama huo, na ikawa ndo mazima?

paka jimmy kuwa na mke si nyenzo ya kutotoka nje ya ndoa ....so swala la yeye kuwa na mke si cha ajabu kupata kaugonjwa haka...swala je utajuaje alikuwa anatembea nje..m nasema kuna umuhimu wa kuweka chombo oale sehemu kitkachokuwa kikitujulisha ukitoka nje ya ndani ...
 
Ndo maana nyumba ndogo kamwe hazitaisha, sijui kwa nini wanawake wa nje ni watamu kuliko maza hausi?
tatizo mapambano ya nyumba ndogo hata yakiwa ni friend mechi mziki wake unakuwa mzito sana, speed mwanzo mwisho, chenga nyingi na mbwembwe za kufa mtu
 
Uchunguzi umebaini wengi wanaokufa kwenye tendo la ndoa kutokana na mshituko wa moyo ni watu ambao wametoka nje ya ndoa.
Me confused hapa! Utatendaje tendo la ndoa ukiwa NJE ya ndoa?:confused2::confused2: Unamaanisha Tigo au? Msaada tafazali!
 
ndo maana nyumba ndogo kamwe hazitaisha, sijui kwa nini wanawake wa nje ni watamu kuliko maza hausi?


viburi vya maza house vinateketeza vila wao kujijua ndio maana kuna familia baba anamweleza wazi kabisa m ninanyumba ndogo iko sehemu fulan..si yeye huyu ni
hali ngumu anayokutana nayo kwenye nyumba
 
me confused hapa! Utatendaje tendo la ndoa ukiwa nje ya ndoa?:confused2::confused2: Unamaanisha tigo au? Msaada tafazali!

mkuu aspirin pole ingawa umepata kaaidia

ni hivi wengii wanaaokufa kama nimemwelewa vizuri ni wale wanaoacha ndoa zao na kukimbilia nje yaani aka vimada,hawara,sugarmumy,vingast,kule kwetu rwanda twaiviiita waberawaiya...nahisi umemwelea kama si kumpata....
 
Ndo maana nyumba ndogo kamwe hazitaisha, sijui kwa nini wanawake wa nje ni watamu kuliko maza hausi?

we hujui tu kiongozi wangu!maufundi yote huwa yanapatikana huku!mhapo nyuma nilishasema kuwa mara nyingi home, mama huwa tunamwona ana majukumu mengine kabisa tofauti na kupeana uzoefu na skills mbalimbali katika kungonoka!ndo maana watu wanaenda mechi za ugenini kuprove their competencies!
 
we hujui tu kiongozi wangu!maufundi yote huwa yanapatikana huku!mhapo nyuma nilishasema kuwa mara nyingi home, mama huwa tunamwona ana majukumu mengine kabisa tofauti na kupeana uzoefu na skills mbalimbali katika kungonoka!ndo maana watu wanaenda mechi za ugenini kuprove their competencies!

mkuu bacha
si kweli hili napingana nawe...unajua kingine kinachoaribu ndoa ni communication..labda nikusaidie unajua hata ao wana small houses ni utundu tu ndio unafanya kuzamisha ndoa za watu unakuta vitu kama styles vipo sehemu nyingi tu ..wanandoa muwe wa wazi sasa hata kama n kutafuta cd za blue kutunza ndoa zenu...hii sasa inachosha styles mzianglie mjaribu huku mnariwaindi akuna atakaetoka nje unless muumizane maana zingine zinaitaji wt ya mtu na uvumilivu
 
Back
Top Bottom