Elections 2010 Habari Leo na Dailynews wanauza copy ngapi?

mozze

Senior Member
Aug 27, 2010
185
28
Mtu mwenye data aziweke ukumbini tuone impact ya magazeti haya ya Udaku.
Kila gazeti wanauza copy ngapi kwa siku?
Daily News
habari leo
Mwananchi
Tanzania Daima
Nipashe
Guardian
 
HIZI DATA UNAEZA KUPATA PENGINE........then what next and what 4?
 
Rekebisha topic yako ili tuchangie mawazo mkuu. Inaelekea kuna hoja unataka kujenga, lakini haijakaa vizuri.
 
Ongeza maelezo mkuu najua wawezakuwa na jambo la maana na kubwa unajaribu kuliteta ila bado halijaeleweka. Usiogope kuwa muwazi manake hapa watu wanaongea waziwazi tu!
 
Back
Top Bottom