Habari Kutoka MTWARA Ndio HII

318039_470409646356368_212601826_n.jpg
Hapa ndiyo panaponikera,hii ni harufu ya udini!
 
Nyie mwadui nanyi muandamane waje wafukie mishimo hyo wakiwa madarakani ni kujizolea rasilimali yani hawa binadamu bana eti hata rizimoja anajizolea mali na kujimilikisha maeneo kisa baba angu hata aibu hawaoni kweli mr p wewe watu walikuamini na kujenga matumaini kumbe mwenzentu unatubwaga moyo umetusikitisha sana shemeji
 
waache waseme yao ya moyoni maana nchi hii hawanaga maelezo yaliyonyoooka!
 
Haaaahaaaaa! It reminds me one very important principle in this world. Lolote linalojengwa kwa misingi ya uongo na unafiki lazima litadondoka tu.
 
natamani pale buzwagi na geita tukatae mchanga kusafirishwa yaaani ndio ntaona tanzania tunayoiwaza
 
hakika shemeji zangu sikujua kuna wakati mnabadilika namna hii...hili swala halihitaji malumbano...tukae tuzungumze c ndio ndg. zangu...nimeshamuelekeza nape atafute namna nzuri ya kuweka sawa swala hili ili lisijiludie tena....
 
Wamakonde wajue kwamba ujanja kuwahi.
Gesi liyopo Mtwara ndiyo hiyo hiyo iliyosambaa hadi Msumbiji. Wakikazana kuzuia huku isichimbwe, Wamakonde wenzao ng'ambo ya mpaka, wanaendelea kuchimba. Wasiposhituka sasa hivi watakuja kuambulia patupu... Shauri yao.!!!
 
Throughout history religions have been used as a vehicle of change where democratic and other means have failed to ignite true CHANGE. No doubt about that.
 
Wamakonde wajue kwamba ujanja kuwahi.
Gesi liyopo Mtwara ndiyo hiyo hiyo iliyosambaa hadi Msumbiji. Wakikazana kuzuia huku isichimbwe, Wamakonde wenzao ng'ambo ya mpaka, wanaendelea kuchimba. Wasiposhituka sasa hivi watakuja kuambulia patupu... Shauri yao.!!!

... 52 years after independence!
 
kama kuna mtu anawapump watu wa mtwara basi huyo mtu ni hatari sana. na napenda atupump watanzania wote tumtoe mtu magogoni
 
kama kuna mtu anawapump watu wa mtwara basi huyo mtu ni hatari sana. na napenda atupump watanzania wote tumtoe mtu magogoni

uko serious Unahitaji mtu aku PUMP??? Ni pm utafurahia Pressure yake!
 
Back
Top Bottom