Habari Kutoka MTWARA Ndio HII

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
Mtwara+2.JPG
 
Gari linalosadikiwa kuwa lilikuwa limeandaliwa kwenda kumchukua Bibi Somoye Issa (90) ambaye ni Mkuu wa Kaya aliyetoa kauli kuwa gesi ikisafirishwa kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam, itageuka kuwa maji, kuchomwa moto usiku wa jana huko kijijini Msimbati, Mtwara. Kijiji cha Msimbati ndicho ambacho miradi ya kuvuna gesi asilia imesimikwa.


774557_470242193039780_1813346884_o.jpg
 
Mtwara: Serikali inavunja nchi kwa kutosikiliza Wananchi!

- Wajua kwanini Mkataba huu wa matrilioni ya Fedha unafichwa?
- Wastani wa kujenga bomba la gesi duniani ni dola za kimarekani 1.2 milioni kwa maili moja. Mradi huu wa Tanzania utagharimu dola za kimarekani 2.2 milioni kwa kilomita moja (maili 1 ni sawa na kilomita 1.6).



74691_468055469925119_1888869567_n.jpg
 
shemeji anataka vyote, mlimpa dada yenu sasa anataka gesi yenu. Chezeiya shemeji nyie.
 
kinachotakiwa na kwenye madini nako waamke, wenye chuma nk ili watawala waelewe hz rasilmali ni za wananchi
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom