Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,193
- 3,011
Halafu kodi yetu kwene hiyo mikopo alipe nani? Na jitihada za walimu wao je? Wazazi na walezi wao pia?Waacheni wajipunguze wenyewe. Nature will select
Halafu kodi yetu kwene hiyo mikopo alipe nani? Na jitihada za walimu wao je? Wazazi na walezi wao pia?Waacheni wajipunguze wenyewe. Nature will select
Kinachotakiwa hapo ni kuimarisha/kuweka sheria ambazo zitawafanya wanafunzi hata wakinywa lakini wasi bugudhi wengine na kelele.
Huku kwa wenzetu kuna faini pale mtu akifaya fujo na akizidi anafukuzwa chuo.
wana haramu wakubwa hawa, wanadai mikopo ili watungue kwwenye mapombe yao siyo?Wacheni ujinga nyinyi wanafunzi. Hivi munajiona munapata fedha nyingi au nini? Angalieni future yenu mutakuja juta hapo baadae wakati hizo fursa zimeshawapita.
Halafu nyinyi ndio muko mbele kupigia kelele Serikali eti fedha munayopewa haitoshi kumbe munataka kufanyia upuuzi!
kuna chuo duniani hakina watu wa aina hii??
afu boom sikuhiz inategemea una asilimia ngapi. kuna watu wanapata asilimia 40 tu, hivyo kutoa mzizi wa fitina bora azileweeeeeee ziishe ajua moja. Frustrations jamani waacheni wajiliwaze!!!!!!!
Just a normal hostel as usual!!!! Sina uhakika na hili, beside UK na Tz nadhani ni vitu viwili tofauti. Ikiwa Wanafunzi wa Vyuo vikuu wanafanya hivi kama machangudoa, hiyo elimu wanayoipata inawasaidia nini? Hakuna anayewakataza wanayoaafanya, lakini wawe na stara kwa wenzao na wasomi wote kwa ujumla.Wanabodi, nimeshi Block F. Mabibo Hostel kwa miaka 4. Hayo yanayozungumziwa ni ya kawaida hostel zote hata main campus ni vivyo hivyo ila ya Mabibo yanaonekana sama kwa sababu tuu halls of residence zote 6 ziko compact in one place with only entry na exit hivyo every litte move is too visible too open wakati main campus halls ziko mbali mbali na ma entry kibao hivyo movement hazionekani.
Niliwahi ishi youth hostel fulani UK. Ilikuwa ni balaa!. Kwanza ilikuwa unisex watu wanatembea kama walivyo zaliwa!. Kibaya zaidi ni wengine wanalewa sana na kufanya mambo ya ajabu hadharani. Wewe umejilalia kitanda cha deka huku juu watu wanafanya mambo huku wakimoan kama kwenye blue movies. Mabibo hostel is nothing much, just a normal hostel as usual.
Vangi hiyo avatar yako mh mie hoi yaani nimecheka sana!Tupunguze generalization. UDSM, DUCE kuna mitihani ambayo ukishindwa kufikia kiwango you are knocked out. Si rahisi kwamba watu wote wanafanya hivyo na bado waendelee kuwepo chuo. By the way Mabibo ni complex, mle kuna watu wa nje ya chuo wengi tu huwa wanaingia pale. Si vizuri kufanya generalization za aina hiyo. Wanapata sh 5000 kwa siku, pigeni hesabu ya gharama ya maisha ya Dar es salaam halafu mseme kama 5000 inatosha kwa siku, pamoja na mavazi na usafiri na chakula na mengineyo mengi. Tukisema bumu lipunguzwe tutakuwa tunawaumiza watoto wa maskini wasio na extra support. Wanafunzi wa chuo kikuu ni watu wazima, waacheni wafanye wanayoweza ili mradi wasivunje sheria za nchi.
nakumbuka enzi zetu pale mzumbe kwa baunsa tulikuwa tunakula mayii then tunakata kiuu kurekebisha tabia long live roy, lema na wote