G Greatman Member Jan 12, 2012 5 1 Jan 12, 2012 #1 Naombeni maana ya neno CABLE,MODEM ya internet,,,kwa kiswahili
Globu JF-Expert Member Jan 12, 2011 8,570 2,068 Jan 12, 2012 #2 Subiri wataalamu watakuja muda si mrefu.
Mphamvu JF-Expert Member Jan 28, 2011 10,702 3,288 Jan 13, 2012 #3 Greatman said: Naombeni maana ya neno CABLE,MODEM ya internet,,,kwa kiswahili Click to expand... nadhani hutaki maana, ila tafsiri za hayo maneno katika Kiswahili. 'cable' ni waya, modem mhm... nitarudi baadae.
Greatman said: Naombeni maana ya neno CABLE,MODEM ya internet,,,kwa kiswahili Click to expand... nadhani hutaki maana, ila tafsiri za hayo maneno katika Kiswahili. 'cable' ni waya, modem mhm... nitarudi baadae.