mgen
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 22,631
- 8,417
Hivi kwani hamfahamu camp ya RA na EL wamekuwa na strategy ya kuichafua serikali ya mkwere na kuiondolea imani kwa umma, imani ambayo tayari haipo...in short wanafanya kila wawezalo kufanya kazi ya serikali iwe ngumu mara mia!!
Ni kweli mwanangu Hekima inasema mamlaka yeyote ikijifitini LAZIMA ISAMBARATIKE Hasira ya mkizi ni furaha kwa mvuvi!