Habar

Mimi k

Member
Jan 10, 2012
18
3
Swali,inawezekana kwa mwanamke ukaona bleed wkt wa kujisafisha ukahic ndo unataka kuingia kwenye period lkn ikawa haitoki tena? Cjui nimeeleweka
 
Swali,inawezekana kwa mwanamke ukaona bleed wkt wa kujisafisha ukahic ndo unataka kuingia kwenye period lkn ikawa haitoki tena? Cjui nimeeleweka

Kama sijakuelewa tofauti unauliza kama inawezekana ukaona damu kwenye uke na ukajua siku zako zimefika lakini bleed ikaacha tena.kwa sababu swali lako haliko direct mimi nafikiri unaongelea hasa siku za kupata menses ikiwa imefika.

Jibu ni ndiyo kumbuka kuwa kutokwa na damu ni uterus kusafisha materials zilizokuwa zimeandaliwa kupokea mimba,kama process za kujisafisha ziko slow sana unaweza kuona damu na baadaya zikoacha kutoka,au zikaendelea ndo maaana wengine wanachukua siku mpaka 3,5,7 kutegemeana na hormone za mtu.but ni vema ukaangalia kama na dalili zingine zipo zinazoashiria kuanza kwa siklu zako najua ni tofauti kwa kila mwanamke but common ni matiti kuumwa au kuvimba,tabia kubadilika mfano wengine huwa wakali au wapole au kuonekana wamezubaa,tumbo kuumwa,kuongezeka hisia za mapenzi,mgongo kuumwa,kichefuchefu nk.

Hata hivyo pia inaweza ikatokea ukaona dalili hizo na usipate siku zako hutokea mfano ukipata stress,magonjwa nk.lakini mzunguko wa mwezi unaofuata wanapata siku zao kama kawaida.kukosekana bleed si lazima iwe mimba.
 
Back
Top Bottom