habar za siku wana jf??

moulaa

Member
Feb 1, 2011
42
2
nilipotea kdogo sababu ya mihangaiko,, naombo kuulza hzi laptop min sana sana za acer unakuta znawaka halafu hazdisplay ni jinsi gan ya kutatua tatzo?? hli??
 
Maelezo yako yanafanya nihisi wewe ni "msanii" ulipotea kidogo sababu ya mihangaiko sisis tupo tupo hapa na mihaingaiko
 
nilipotea kdogo sababu ya mihangaiko,, naombo kuulza hzi laptop min sana sana za acer unakuta znawaka halafu hazdisplay ni jinsi gan ya kutatua tatzo?? hli??

zinapoacha kudsplay desktop inakuwa na rangi gani? coz soltion ya white displya ni tofauti na black display au ipo kimya kabisa?
 
nilipotea kdogo sababu ya mihangaiko,, naombo kuulza hzi laptop min sana sana za acer unakuta znawaka halafu hazdisplay ni jinsi gan ya kutatua tatzo?? hli??

Sasa mkuu hebu elezea vizuri basi. "Zinawaka halafu hazidisplay" kivipi? Kuna mawili hapo,unapobonyeza power(on) button ina-start (say-windows) normally but it doesn't display desktop icons,even you can't see 'start' button at the bottom left(according to the settings).
La pili ni kuwa inawaka unapobonyeza power button but nothing is displayed at all. Haioneshi kama (windows) is starting up or what? The display remains blank forever!
Sasa tatizo la laptop yako ni lipi hasa?

Generally,matatizo yote mawili hapo juu yanaweza sababishwa na;
-HDD problem (Soln: Maintenance or Replacement )
-RAM problem (Soln: Maintenance or Replacement )
-HDD is infected by virus(Soln: Scan...)
-Display problem (Soln: Maintenance or Replacement )
-Some OS files are missing(crashed),or infected by virus. (Sol: Run a fresh installation of OS)
-Na kadhalika...

*Kumbuka kufanya Backup*
 
Ya kwangu ukichomeka chaji moto unaonekana unaingia vizuri lakini ukiiwasha haiwaki kabisa tatizo ni nini?

Hapo mkuu kunaweza kuwa na matatizo au tatizo kama nlivoainisha kwenye post yangu ya kwanza hapo juu;

-Display/screen ina matatizo(kwa case ya laptop. Kama ni desktop jaribu kukonekt cable vizuri,kama bado tatizo lipo basi replace monitor)

-RAM ina matatizo au imekaa vibaya/loose (Ichomoe then iweke vizuri,vinginevyo badilisha RAM kabisa)

-Hard Disk(HDD) ina virusi au imeharibika(Scan kwa kutumia kompyuta nyingine nzima na yenye anti-virus then irudishe na jaribu tena,hapa hata kama hamna Operating system,na kama diplay ni nzima basi unapobonyeza power button(on)press F2 au F4 au F12 kulingana na brand,then itaku-direct kwenye BIOS settings ambapo unaweza ku-set BOOT FROM CD as the first choice & BOOT FROM HDD as the 2nd choice au kinyume chake. Vinginevyo nunua HDD mpya.)

-Motherboard ina matatizo (Hapa solution ni kununua au kuweka motherboard nyingine mpya)

- Power supply ina matatizo,huenda haingizi moto vizuri kwa case ya desktop,kwa laptop check laptop charger adapter kama iko sawa.

Nimejaribu ku-highlight tu(bila mpangilio) na mojawapo au yote yaweza kuwa ni tatizo kwenye kompyuta yako,jaribu kuangalia au mpelekee mtu mwenye uelewa wa kompyuta atakusaidia.
 
Back
Top Bottom