HABA na HABA Akaunti ya EXIM Bank

Kwa mfano ukiweka Tshs. 515,000 kila mwezi kwa miaka 10 (miezi 120) kwa ujumla utakuwa umeweka Tshs. 61,800,000 na wao wanakupa milioni 100. It is a good deal kwa wenye kuweza kumudu kuweka hiyo amount.
 
Kwa mfano ukiweka Tshs. 515,000 kila mwezi kwa miaka 10 (miezi 120) kwa ujumla utakuwa umeweka Tshs. 61,800,000 na wao wanakupa milioni 100. It is a good deal kwa wenye kuweza kumudu kuweka hiyo amaount.

Tatizo hii inflation bro ndio inatutisha at this 19% yani amani inakosekana kabisa unaweza ukaitoa hiyo 100ml ukakuta wakati huo inaweza kununua Bajaj :happy:. Lakini sounds great
 
Tatizo hii inflation bro ndio inatutisha at this 19% yani amani inakosekana kabisa unaweza ukaitoa hiyo 100ml ukakuta wakati huo inaweza kununua Bajaj :happy:. Lakini sounds great

Ni kweli mkuu hii inflation inaogopesha kwa kiasi chake ila hiyo amount si haba kwa kweli. Tuombe MUNGU 2015 tupate kiongozi ambaye si dhaifu ili adhibiti inflation na pesa yetu iendelee kuwa na thamani.
 
kwa ushauri huo nakupongeza sana sasa iyo 515,000/= kwa vimishahara vya serikali!!! mmh shoti 2pu!

Tatizo liko hapo mkuu. Vimishahara vya serikali yetu ni vidogo na kumudu kuweka 515,000/= kwa mwezi si rahisi. Ila pia wana option kadhaa ingia kwenye hiyo website niliyoweka kwenye post ya kwanza unaweza kupata kiwango unachoweza kumudu kuweka kwa mwezi kwa muda utakaochagua mwenyewe.
 
Mkuu rmashauri benki huwa wasanii sana. Katika majedwali yao wanaandika figures zinazovutia lakini ukigonda hodi kwenye ofisi zao uankuta hadithi tofauti. Katika haya majedwali hawajaandika kiasi gani cha hiyo pesa kitakatwa kama VAT na iwapo utalipwa kwa mkupuo. Kwa harakaharaka inaonekana ni scheme nzuri though, nitawatembelea wanipe details halafu nitawapa feedback.
Asante kwa useful post...
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ZeMarcopolo ni kweli kuna baadhi ya vitu huwa hawa-disclose, ila kwa hii haba na haba akaunti ni mkataba kwahiyo at the end of the mkataba unapata hela yako minus a 10 % withholding tax ya ile profit. Tutashukuru kwa feedback yako baada ya kuwa umewatembelea.
 
Mkuu rmashauri benki huwa wasanii sana. Katika majedwali yao wanaandika figures zinazovutia lakini ukigonda hodi kwenye ofisi zao uankuta hadithi tofauti. Katika haya majedwali hawajaandika kiasi gani cha hiyo pesa kitakatwa kama VAT na iwapo utalipwa kwa mkupuo. Kwa harakaharaka inaonekana ni scheme nzuri though, nitawatembelea wanipe details halafu nitawapa feedback.
Asante kwa useful post...

mkubwa mbona hujaleta feedback??
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom