Haaaa! HAKUNA BTP JAMANI...

LOOOK

JF-Expert Member
May 17, 2011
3,389
672
Kwa wale walimu woote ngazi ya cheti na stashahada kulikoni hadi leo hakieleweki kuhusu btp nina mdogo yupo chuo huko hadi leo haieleweki kama hiyo btp itakuwe kwa inasemekana serilali haina fedha kwa sasa kukamilisha swala hilo hii imekaaje ati?
 
nimepokea walimu wa BTP toka Monduli TTC tangu ijumaa na leo natarajia wa marangu waingie.....
 
Kwa ngazi ya cheti na dip. wanaita BTP= BEFORE TEACHING PRACTICE/PROGRAMME. Kwa ngazi ya shahada ndo inaitwa TP= Teaching Practice

Acha kupotosha watu wewe, inaitwa Block Teaching Practise, hiyo Before Teaching practise ni ya kwako. Halafu watu wa shahada wanaleta mbwembwe tu kuondoa "Block" lakini kitaalamu ndivyo inavyoitwa.
Waalimu toka Monduli washawasili vituoni kwa ajili ya BTP sijui vyuo vingine.
 
BTP(Block Teaching Practise)=waalimu tarajali wanaenda vituoni kufanya mazoezi ya kufundisha ikiwa ni sehemu ya mafunzo yao ya ualimu.
 
Leo walimu wa Kleruu wamepelekwa vi2oni kuanza Btp. Mtoa mada huyo mdogo wako anasoma vyuo vya mfumo upi au Veta?
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom