Ha..hahaa mathematiks bwana raha sana kama ulifeli poleee!!

gango2

JF-Expert Member
Aug 31, 2011
1,941
2,251
> 1 x 9 + 2 = 11
> 12 x 9 + 3 = 111
> 123 x 9 + 4 = 1111
> 1234 x 9 + 5 = 11111
> 12345 x 9 + 6 = 111111
> 123456 x 9 + 7 = 1111111
> 1234567 x 9 + 8 = 11111111
> 12345678 x 9 + 9 = 111111111
> 123456789 x 9 +10= 1111111111
 
Check pia hiii

> 1 x 1 = 1
> 11 x 11 = 121
> 111 x 111 = 12321
> 1111 x 1111 = 1234321
> 11111 x 11111 = 123454321
> 111111 x 111111 = 12345654321
> 1111111 x 1111111 = 1234567654321
> 11111111 x 11111111 = 123456787654321
> 111111111 x 111111111=12345678987654321
 
Sa ce tulosoma masomo ya kuimba mashairi tuwaeleweje?
 
eti unasovu swali la hesabu leeeeeeefu! Huku na kule prinsipo kibao mkono kwenye kikokotozi hautoki alafu jibu unapata mara 0.3 au 0.0002 au 0.01 au 1 mara 2.1 sasa hii ndio nini? Hesabu ni upuuzi wa hali ya juu?
 
We ukiisha jua kuhesabu pesa inatosha,hzo zingne ni mbwembwe tu.over
 
unajua kwa sisi wataalamu wa namba, huwa hatuna chepele ukitulia na kikokoteo chako,,,,aaaah, yaan mambo mswano. cheki sasa nyie mangwini......duuuu
 
We ukiisha jua kuhesabu pesa inatosha,hzo zingne ni mbwembwe tu.over

ha haaa haaa kaka hizo ni HESABU mi nazungumzia HISABATI au mathematiks... hesabu mbona kila mtu anajua hata walevi
 
ha haaa haaa kaka hizo ni HESABU mi nazungumzia HISABATI au mathematiks... hesabu mbona kila mtu anajua hata walevi

ivi zile hesabu za x na y huwa zna application gan ktk maisha mkuu?
 
eti unasovu swali la hesabu leeeeeeefu! Huku na kule prinsipo kibao mkono kwenye kikokotozi hautoki alafu jibu unapata mara 0.3 au 0.0002 au 0.01 au 1 mara 2.1 sasa hii ndio nini? Hesabu ni upuuzi wa hali ya juu?

Ingekuwa upuuzu usingejifunza hata kuhesabu, na kuhesabu hela usingejua
 
Zinatumika ktk kufanya decition ya kuzalisha product mbili tofauti ktk firm

huyu anazungumzia linear programing nimempata hapa! maximazing product mkuu, hata ukitaka kununua daftari na maembe unaweza apply zile....tatizo alikuwa anakremu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom