ha haaa haaaaa!!

Emanuel Makofia

JF-Expert Member
Jan 5, 2010
3,832
630
balo.jpg

inachekesha sana
 
natamani nijue hicho kichekesho

madameX yaani kutizama kwako hujagundua chochote katika picha hiyo!
Mtizame Baloteli bukta yake na macho yake yanatizama wapi badala ya Mpira!
 
madameX yaani kutizama kwako hujagundua chochote katika picha hiyo!
Mtizame Baloteli bukta yake na macho yake yanatizama wapi badala ya Mpira!

Duuh mna macho nyie, kapicha kadogo hako mmeweza kuyaona yote hayo
 
kwiiiii kwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,waaaaaaaaaaaaaaa walimtegeza kweli ili washinde
 
Madamex usishangae sana, ndio fikra na mawazo yao yalipolala. Sodoma na Gomora ndiyo hii bado moto tu, puuuuuuuuuuuuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom