Gzt Anika Ukweli :Gzt Mpya linatoka Kesho usikose!

Mwamakula

JF-Expert Member
Nov 7, 2010
1,890
382
Wana Jf Kesho kuna gzt mpya linaitwa Aika Ukweli Saut ya Wanyonge.Hili gzt litaanza kutoka Alhamisi Kesho?
 
Nilivyoona kwenye kichwa cha habari neno 'gazeti mpya' nikajua bahati mbaya ulimi umeteleza. Lakini si mbaya, ni kama Kenya vile...Tuna hamu sana kupata habari mpya motomoto. Vipi kuhusu safu ya wahariri? Maana magazeti ya siku hizi ni kama hayana jipya kwani wahusika ni walewale.
 
Huyu kama ni mwandishi na anatangaza gazeti hilo kwanza yeye arudi class ajifunze maadili ya kazi yake kama muelimishaji wa jamii. ataharibu lugha yetu nzuri.
 
Nilivyoona kwenye kichwa cha habari neno 'gazeti mpya' nikajua bahati mbaya ulimi umeteleza. Lakini si mbaya, ni kama Kenya vile...Tuna hamu sana kupata habari mpya motomoto. Vipi kuhusu safu ya wahariri? Maana magazeti ya siku hizi ni kama hayana jipya kwani wahusika ni walewale.
Marekebisho.Gzt linaitwa Anika Ukweli Sauti Ya Wanyonge
 
Jina la gazeti lakini je jina litatendewa haki?what if soon linakuwa prooved wrong litaitwa anika ukweli? Kuna majina mengine ni mazito sana kuyatumia hasa katika mazingira yetu ya kitanzania, nchi ya chuki, fitina, majambazi wala rushwa, wabinafsi, wezi, matapeli, mbayuwayu, wanafiki nk.
 
Wasi wasi wangu lisije kuwa la hawa watu wanaokwenda makanisani kujisafisha na sas wanakuja na mbinu mpya kwenye magazeti. Halafu jinsi ya huyu bwana alivyoleta hili swala jamvini naona sion njia nzuri ya kutoa taarifa..Inaonenaka ana hisa pale
 
Back
Top Bottom