Gym ya Mabwepande..

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Boflooooooooooooooooooooooooooooooooooooo

gym.jpg
 
Safari ni safari tuu iwe kwa basi,ndege au kwa miguu ilimladi ufike.
 
Huu ni ubunifu wa hali ya juu, naamini Engineer mmoja akitumia muda wake kidogo tu anaweza renovate stage waliyofikia na kwenda mbele hatua mbili tatu.
Hawa wametumia local resources ku solve immediate problem.

Wengine wangeiba BOT katika ku solve tatizo hilohilo katika large scale.

Kuna teknolojia nyingi sana tumezikumbatia kwa mikono miwili lakini hazitufai au zinageuka mzigo katika mfumo wa maisha yetu.

We build our life around electrical appliances before building reliable electric sources.
 
naomba munielekeze jinsi ya kufika mabwepande. nina hamu ya kutembelea hicho kijiji kipya.
 
naomba munielekeze jinsi ya kufika mabwepande. nina hamu ya kutembelea hicho kijiji kipya.

Tafuta na nunua kiwanja eneo la bondeni then jenga nyumba hapo. Subiri mvua za Masika za mwaka kesho then bila ubishi utakuwa MABWE-PANDE! Karibu sana!

DON`T MIND THIS . . . IT`S JUST A JOKE MY FRIEND!
 
Back
Top Bottom