Gwajima, Mbowe na Lowassa Mwiba mchungu kwa CCM

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,113
33,623
Ukiwasikiliza kwa vizuri watu wa CCM na jinsi matendo yao yalivyo dhidi ya watu hawa watatu, bila ya shaka utagundua kwamba Gwajima, Mbowe na Lowassa ni Mwiba mchungu sana kwa CCM. Siku ikitokea CCM wafanye mambo yao Mwaka mzima bila ya kuwataja watu hawa watatu, basi mwaka huo mwezi ndiyo utaangaza Mchana badala ya jua!!
 
Gwajima aungwe mkono, ashinde ubunge
Ukiwasikiliza kwa vizuri watu wa CCM na jinsi matendo yao yalivyo dhidi ya watu hawa watatu, bila ya shaka utagundua kwamba Gwajima, Mbowe na Lowassa ni Mwiba mchungu sana kwa CCM. Siku ikitokea CCM wafanye mambo yao Mwaka mzima bila ya kuwataja watu hawa watatu, basi mwaka huo mwezi ndiyo utaangaza Mchana badala ya jua!!
 
Kawe ya Mdee, Gwajima rudi kanisani katubu uchunge kondoo zako.
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Halima aanze kuaga kawe. Kumshinda gwajima hawezi.
Gwajima yupi??? Huyu anayehamasisha siasa za kikabila za wasukuma na clip zipo hewani kabisa????

Huyu aliyesema wazi atageuza madrassa kuwa makanisa?????

Huyu anayejirekodi akifanya mapenzi na washarika wake wanawake wazuri wazuri???
 
Kawe na Gwajima, Gwajima na Kawe
Halima akiamshe
 
Dogo upo?

Back
Top Bottom