Gwajima aishauri Serikali kumkamata Ahmed Msangi

DALLAI LAMA

JF-Expert Member
Jan 31, 2012
8,651
2,627
Ni yule aliyetajwa na Ulimboka, ambaye ana cheo cha ukuu wa upelelezi police special zone.

Ngoma inogile, SERIKALI WASIKILIZENI HATA VIONGOZI WA DINI.
 
he is a killer must be arrested, ila akamatwe na sisi wana wa nchi serikali iliyomtuma kuua haiwezi kumkamata!
 
Ivi jamani utaalamu anaosemaga /inteligensia/ Kova ndio huu. Basi Kova =k.ova
 
Huyu mchungaji baada ya kuingia kwenye hii vita inabidi awe mwangalifu sana. Anaweza hata kubambikiwa madawa ya kulevya ili kujustify yale maneno ya 'dhaifu' aliyoyasema mbele ya viongozi wa dini...
 
Huyu mchungaji baada ya kuingia kwenye hii vita inabidi awe mwangalifu sana. Anaweza hata kubambikiwa madawa ya kulevya ili kujustify yale maneno ya 'dhaifu' aliyoyasema mbele ya viongozi wa dini...

kila mtu analiangalia,,,,,,,,,,
 
Unajua mm bado sijaelewa, hawa jamaa wanasema walimkamata kanisani baada ya kupata taarifa toka kwa wasmaria wema, walinzi wa kanisa anasema walimpeleka polisi baada ya kuona ni mshari na hatari then wote wakakubaliana ni kichaa, wakati huohuo walinzi wanasema alikutwa na simu yenye ujumbe uliotumwa kwa no ambayo haikutajwa kuwa nimeshafika najaribu kuwazoea pia kakutwa na hati ya kusafiria ya dharura na kitambulisho cha uraia wa kenya Du!!!.
Maswali :kichaa gani anamiliki simu
Anajua kuitumia
Anatambua uwepo wa kitambulisho na matumizi ya hati ya kusafiria
Je walinzi wa kanisa waliviona hivyo vitu
MASWALI MENGI KULIKO MAJIBU, kwa mujibu wa utaratibu wa kenya unaweza ku confirm namba ya utambulisho wa uraia kwa SMS 2031 for ID jaribuni kuingiza hizo no tuone kama litatokea jina lake
 
Hahaaa city park safi sana nimepiga mechi sana hapo miaka ileeee...aaah nunu weeee
 
Kanisa la Uzima na Ufufuo la kanusha kuwa Mtuhumiwa wa utekaji wa Dr. Ulimboka alikwenda hapo kutubu. Wameonya wasiwe sehemu ya kutumika na kutaka jeshi la Polisi lisiwe sehemu ya uchunguzi kwa kuwa wanashukiwa katika utekaji huo.

Nini tafsiri hii? serikali ina aibika ua?
 
Back
Top Bottom