Guys, What would be your reaction if it were you?

Ukimegewa mkeo nawe tafuta mnyonge ummegee!! Na ndo 2tajua nani ni boss wa mwenzake, yeye ama mimi?
 
Mchuna ngozi haitwi mchuna ngozi mpaka akamatwe na ngozi...
There could be so many explanations not neccessarily kua walalana... lol..:eyebrows:

Unaweza kunitajia mojawapo ya hizo sababu za kumfanya dereva aingie bafuni anakooga mkeo?
 
hapo ni kumuongeza mshahara huyo dereva...
kumbe anafanya kazi mbili ??

heheheee sikujua kuwa mapenzi nayo ni kazi!!!! anyway kwa upande wangu in some cases (mfano kama hii) ningehakikisha kaniona kuwa ni mie na sie mike wake, ningekaa kimya tu nakubeba pasi yangu na kutimkia safarini huku nikimuacha na maswali kibaao. In some cases silence is the best answer!
 
kama hawa wanabakana live bila chenga mchana kweupeee! sembuse mke na dereva, kwani dereva si mwanamume??? mie huwa nawashangaa wanaume huwa wanashtuka na vitu vidogovidogo sana, sasa mwanamke wako akitembea na dereva ambae ni mwanamume kama wewe kuna tatizo gani?? tatizo udereva au? mbona wao wakitembea na mabeki tatu huona sawa tu, wale wafanya usafi wa makampuni, wahudumu hadi watoto wa shule wote channganya tu, lakini wanawake hata akitembea na bosi wake bado atatoa kasoro tu!!!




avatar10505_3.gif
 
kaaaaaaz kwelkwel. Ukiwa na moyo wa biskut unauwa kiumbe ila mimi kwanza nitaupima moyo wangu dhidi ya mke wangu, pili nitaangalia matendo yangu koz hata nikpga haibadlsh what happened as itaongeza matatzo kama bado nampenda.
 
Mchuna ngozi haitwi mchuna ngozi mpaka akamatwe na ngozi...
There could be so many explanations not neccessarily kua walalana... lol..:eyebrows:

My sister, you have certainly turned things upside down.......................wikiendi nzima na dereva kufanya nini?
 
mambo mengine si rahisi kukoment, ila nimecheka, jamaa aliyesema anamuongezea dereva mshahara maana ana kazi mbili
 
Mchuna ngozi haitwi mchuna ngozi mpaka akamatwe na ngozi...
There could be so many explanations not neccessarily kua walalana... lol..:eyebrows:

Kwa mazingira haya hakuna eplanation itakayoweza ku-proove kwamba hawalalani, yaani mpaka kushikana masaburi! Utani gani huo!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom