Guys What series are you watching ryt now?

fidelis zul zorander

JF-Expert Member
Mar 6, 2012
685
175
hellow peps wote wapenda movies sanasana series this is a place where we can share the series we have watched and still watching am a big fun of this thing to start with am on to how i met your mother season7 (HIMYM) And just finished DEXTER SEASON2....JAMANI YOU ARE ALL WELCOME LETS SHARE:nerd::nerd:..
 
Spartacus....
Nayo inanikatisha tamaa, upatikanaji wa hizi series imekuwa zengwe kweli pande hii..
 
EVENTS! ila season 2 haipatikani, NIKITA pia season 2 siipati, the state within - season 2 hamna, fight back - season 2 hamna! XIII season 2 hamna! hizi zote ni kali sana hasahasa EVENTS na XIII utadhani unaangalia 24 lakini wahindi wamelala season 2 hazionekani zote!
 
Mkuu The Event imetoka season 1 tu ikazuiwa kutoka. NIKITA nimeangalia season 2 mpk the latest episode ya 15.
EVENTS! ila season 2 haipatikani, NIKITA pia season 2 siipati, the state within - season 2 hamna, fight back - season 2 hamna! XIII season 2 hamna! hizi zote ni kali sana hasahasa EVENTS na XIII utadhani unaangalia 24 lakini wahindi wamelala season 2 hazionekani zote!
 
EVENTS! ila season 2 haipatikani, NIKITA pia season 2 siipati, the state within - season 2 hamna, fight back - season 2 hamna! XIII season 2 hamna! hizi zote ni kali sana hasahasa EVENTS na XIII utadhani unaangalia 24 lakini wahindi wamelala season 2 hazionekani zote!
walinikata sana walivyoizuia the event.
 
kuna thread ilianzishwa kule jit chat, ikiuliza st ivuga anapiga mzgo saa ngapi bt ukujbu.
nilimjibu jamaa...nipo kazini hadi sasa hivi mimi kazi yangu ni kusimamia watu wanavyofanya kazi so its simple hata ungekuwa wewe..but kuna kipindi nitapotea tu.kwema lakini pande hizo?
 
EVENTS! ila season 2 haipatikani, NIKITA pia season 2 siipati, the state within - season 2 hamna, fight back - season 2 hamna! XIII season 2 hamna! hizi zote ni kali sana hasahasa EVENTS na XIII utadhani unaangalia 24 lakini wahindi wamelala season 2 hazionekani zote!

uko pande zipi jomba mbona hizo zinapatika........
 
kuna mtu ameangalia how i met your mother (HIMYH)...on a scale of 1 to 10 i rate this series a 9...ijaribuni hii wadau
 
EVENTS! ila season 2 haipatikani, NIKITA pia season 2 siipati, the state within - season 2 hamna, fight back - season 2 hamna! XIII season 2 hamna! hizi zote ni kali sana hasahasa EVENTS na XIII utadhani unaangalia 24 lakini wahindi wamelala season 2 hazionekani zote!

Nikita Season 2 ipo Episod 15
 
Back
Top Bottom