guys niliwamiss sana na ninawapenda pia

mzuka sana hata mimi nilikumic kinyama ila mi mgeni ktk jamiii
kama vipi utani julisha ktk mysteriabdulyzo on the same jamii4ram au cio
 
Mm nacho kulaumu F1 umeshindwa hata kuonana na wapwazi sasa sijui tukuweke kwenye kundi la watu wenye malingo au vp?
 
am very sorry binamu zangu nilipanga ratiba na mzee akapanga ya kwake ..naomba mnisamehe bure labda hope mtaniaelewa next time
sina maringo na sina hulka hiyo ..
najua nimekuuzi vya kutosha mtu wangu lakini mie na wewe hatuzuriani
 
...........tuendelee!...:D:D
 
Mm nacho kulaumu F1 umeshindwa hata kuonana na wapwazi sasa sijui tukuweke kwenye kundi la watu wenye malingo au vp?

Nikurekebishe kiswahili kidogo kwenye blue ni maringo sio malingo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom