guys niliwamiss sana na ninawapenda pia

Harafu mabinamu naombeni mnifogive sana nimekuwa mswahili kama natokea mombasa ni majukumu tu ya kumsitiri mzee yalinizidia
 
sasa unacheka nini wewe binamu hebu nipe kadi nichange ..

kheeeee we unajiombea kadi mwenyewe loh!!! Goeff mpe na kiwango kabisa huyu ndo anafaaa sio wapwazzzzzzz wengine chenga tuuu!!
 
hii mwaka hata sisemi happy nyuu yia, tangu ianze nakoswa koswa tu. nishanunua kajeneza jast in kesi nimekufa wizauti preparesheni
 
hii mwaka hata sisemi happy nyuu yia, tangu ianze nakoswa koswa tu. nishanunua kajeneza jast in kesi nimekufa wizauti preparesheni

hahahahah unakoswa koswa kwenye daladala ,machangudoa, au wapi pole?
 
well !! Hakuna Masika yasiokuwa na mbu.

[ame]http://www.youtube.com/watch?v=cQqNxmU7d_M[/ame]
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom