Guys mbona mko hivi??

Siwezi vaa heleni mke wangu na yeye avae nini sasa?

si ndo vizuri mnakuwa mnaazimana, kama vile wale wanume wa mkorogo wavoshea na wake zao!!!

this is disgusting anyway!!!! watakuwa wanavaa na vikuku na cheni za kiuno hawa.....and then.......
 
kwa heshima na taadhima haikuwa dhamira yangu kuwavunjia heshima wapenzi wangu nimeweka bila hata kujua nilikoitoa sijui nime-edit sijui kama bado inaonekana ..
Nisameheni mie dada yenu sikuwa na nia ya kufanya hivyo..

pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee forgive me all
 
Haya tumekusamehe dada yetu kipenzi wenzio tulisha ona
 
kwa heshima na taadhima haikuwa dhamira yangu kuwavunjia heshima wapenzi wangu nimeweka bila hata kujua nilikoitoa sijui nime-edit sijui kama bado inaonekana ..
Nisameheni mie dada yenu sikuwa na nia ya kufanya hivyo..

pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee forgive me all

mi hata sijaona chenyewe Fide anasema..............wat z it?? au ndo bora nisijue kabisa (bt am curious)
 
Sawa kaka wa kazi hapo nakuaminia mbuzi ana sura nzuri uso wa kitimoto tu

Hahahaha haya dada usishoboke na sura na unaambiwa wazi sura sio roho karagha baho.
Wewe unashoboka na sura huyo huyo jamaa wa kazi wanambedua bedua kama watakavyo.
 
mi hata sijaona chenyewe Fide anasema..............wat z it?? au ndo bora nisijue kabisa (bt am curious)

thanx God hujaona my bestlady hamu ya kupost imeisha ngoja nichukue break nikatembee
 
Hahahaha haya dada usishoboke na sura na unaambiwa wazi sura sio roho karagha baho.
Wewe unashoboka na sura huyo huyo jamaa wa kazi wanambedua bedua kama watakavyo.

Eeeeeee Fidel sasa unaenda mbali huko. Lakini kwani kuna ubaya gani mwanaume akijiweka sopusopu uso haung'ai jasho pafyumu kidogo suruali imenyooka nyweli zimekaa sawa eee????
 
mi hata sijaona chenyewe Fide anasema..............wat z it?? au ndo bora nisijue kabisa (bt am curious)

Na uhakika ungeona wewe siku yako ya leo ungekuwa umeipoteza kama si wiki yote ukawa unalia na kusaga meno.
 
Eeeeeee Fidel sasa unaenda mbali huko. Lakini kwani kuna ubaya gani mwanaume akijiweka sopusopu uso haung'ai jasho pafyumu kidogo suruali imenyooka nyweli zimekaa sawa eee????

Haya mama ubaya hakuna lakini kwa mwanaume kuna mipaka yake ya kujiweka soap soap asipitilize, akipitiliza anakuwa kama mwanamke hata kama ameulamba lakini huo mng'ao unakuwa wa kumvutia mwanaume mwenzie hata pindi anapo pita maeneo ya kati mafundi dawasco lazima wataonyeshana ishara flani kuwa ile ni kazi yetu, Nafikiri unanipata pata, ukiwa na handsome boy anajikarabati kama wewe mpaka anakuzidi mng'ao wenzio wanaweka alama za ?????
 
Na uhakika ungeona wewe siku yako ya leo ungekuwa umeipoteza kama si wiki yote ukawa unalia na kusaga meno.
sasa Fide ndo unanifanya nizidi kutaka kuona niambie basi kwa PM ni kitu gani roho itanitoka mwenzio.....
 
Eeeeeee Fidel sasa unaenda mbali huko. Lakini kwani kuna ubaya gani mwanaume akijiweka sopusopu uso haung'ai jasho pafyumu kidogo suruali imenyooka nyweli zimekaa sawa eee????

JS umenikumbusho mtanashati mwingine aliitwa Matukio Chuma!! alikuwa sopusopu kweli kweli sijui yuko wapi siku hizi
 
sasa Fide ndo unanifanya nizidi kutaka kuona niambie basi kwa PM ni kitu gani roho itanitoka mwenzio.....

Naogopa nisije nikakuharibia bure siku yako na ukanichukia kwa kukuharibia swaumu yako,
Ukinipa konyagi mbili jioni nitakwambia.
 
JS umenikumbusho mtanashati mwingine aliitwa Matukio Chuma!! alikuwa sopusopu kweli kweli sijui yuko wapi siku hizi

matukio.jpg

Huyo hapo, alikuwa si mchezo.
Wadau nawakilisha tu.
 
Naogopa nisije nikakuharibia bure siku yako na ukanichukia kwa kukuharibia swaumu yako,
Ukinipa konyagi mbili jioni nitakwambia.

heheee Fide usisahau prinsipo yangu......'I never buy people alkoholi' (hiyo lakini ni genero rulu sasa tuone kama utaanguka kwenye eksepsheni)
 
kwa heshima na taadhima haikuwa dhamira yangu kuwavunjia heshima wapenzi wangu nimeweka bila hata kujua nilikoitoa sijui nime-edit sijui kama bado inaonekana ..
Nisamehen i mie dada yenu sikuwa na nia ya kufanya hivyo..

pleaseeeeeeeeeeeeeeeeeeeee forgive me all

mbona unataka kulia? pole FL1 ni nini iko mbaya?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom