Guy Fawkes and Bonfire

Mtu wa Kawaida

JF-Expert Member
May 2, 2008
239
69
Katika pita pita yangu ya hapa na pale nimekumbana na hii sherehe ya bonfire ambayo uwa inaadhimishwa kila tarehe 5 novemba kila mwaka hapa ncini uingereza kwa upigaji wa mafataki.
Sasa swali linalonisumbua kichwa ni hili: Je huyu Guy Fawkes aliandaa mabalasi ya unga wa baruti kulipua bunge mwaka 1605 au hii ilikuwa janja ya watu waliokuwa karibu na mfalme wa Uingereza kwa wakati ule walitaka kutoa roho ya huyu bingwa??
 
Back
Top Bottom