Guninita sasa ni 'fomu wani'

Huko mbali sana simultaneous equations tu ataona nyota.....................aaah kumbe pia quadratic equations zipo around pia...! Kikubwa mswaki (F) wa mathematics utakuwepo hauna ubishi. Lakini as usual yale masomo yao ya kuwatoa na D mbili apate cheti yapo ie Kiswahili na Civics/history/english........!


Hawezi kusoma hesaba QT mitihani migumu watu wanarudia mara tano hajafaulu , atasoma masomo ya kawaida hist, Geor kiswa, eng, civics matano, baada ya hapo anaingia form three anasom HKL mpaka six, unashangaa anasoma OUT
 
Yupi bora " Guninita aliyejitoa kimasomaso kuanza kidato cha kwanza kuonyesha kwamba anakubali hakuwahi kusoma elimu ya sekondari AU Bwana CHITALILO aliyewadanganya wapigakura wake akawakilisha vyeti feki kuonyesha kwamba ni form four wakati ni kihiyo????????????
 
Tatizo letu watz tunaangalia mtu m,wenye uwezo wa kuzungumza ndio tunadhani ujasiri wake unatokana na madarasa aliyopanda kumbe ni ujanjaujanja tu
 
Sidhani kama Guninita ana akili ya kutosha kuelewa Trigonometry, Algebra, na Calculus.


WEWEEEE! aKASOME HESABU ZA NINI? hAPO NGOMA KISWAHILI, gEOGRAPHY, Siasa na kiingereza. Kama kuna mtyu anajua anachukua zaidi ya hayo aniambie.
icon10.gif


Pole Mjomba Guninita. Hili ni swali kwa mwenyekiti wa CCM taifa mwishi wa mwezi
 
Duh, Kumbe Guninita ni NJUKA


Utawajua tu akina debe tupu haliishi kutika, kumbe jamaa ni kihiyo. Sijui alifikaje hapo.. je ni vyeti vya kufoji, kupewa vyeo kwa kuwa una undugu au kikaragosi wa mkubwa au tena ndio ule mtindo wa wanamtandao.
 
Back
Top Bottom