Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gundua tofauti katika picha hii

Discussion in 'Jamii Photos' started by RayB, Nov 18, 2010.

  1. RayB

    RayB JF-Expert Member

    #1
    Nov 18, 2010
    Joined: Nov 27, 2009
    Messages: 2,755
    Likes Received: 81
    Trophy Points: 145
    Unaweza kugundu ni nani aliyetia doa hapa

    [​IMG]
     
  2. RayB

    RayB JF-Expert Member

    #2
    Nov 18, 2010
    Joined: Nov 27, 2009
    Messages: 2,755
    Likes Received: 81
    Trophy Points: 145
    Hii ndo serilkali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
     
  3. kmwemtsi

    kmwemtsi Senior Member

    #3
    Nov 18, 2010
    Joined: Nov 7, 2010
    Messages: 126
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    Bwana mindevu shaarif
     
  4. St. Paka Mweusi

    St. Paka Mweusi JF-Expert Member

    #4
    Nov 18, 2010
    Joined: Sep 3, 2010
    Messages: 5,869
    Likes Received: 43
    Trophy Points: 145
    Mimi naona hapo wote wamevaa suti na tai kasoro maalim Seif yeye kavaa kaunda suti aka suti ya kijamaa.
     
  5. Mpasuajipu

    Mpasuajipu JF-Expert Member

    #5
    Nov 18, 2010
    Joined: Oct 22, 2010
    Messages: 838
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 0
    Wanne wanachelekea mafisadi lakini wawili wanaonekana hawana mchezo wako serious.
     
  6. Hassan J. Mosoka

    Hassan J. Mosoka JF-Expert Member

    #6
    Nov 18, 2010
    Joined: Oct 26, 2010
    Messages: 645
    Likes Received: 14
    Trophy Points: 35
    Mimi naona aliyetia doa ni Mh. Pinda Mizengo!
     
  7. MAMMAMIA

    MAMMAMIA JF-Expert Member

    #7
    Nov 18, 2010
    Joined: Feb 26, 2008
    Messages: 3,823
    Likes Received: 11
    Trophy Points: 0
    ccm "a" watano, ccm "b" mmoja
    ccm a&b wako hai, exccm mmoja ameshafariki (angalia anayening'inia ukutani juu).
     
  8. MziziMkavu

    MziziMkavu JF-Expert Member

    #8
    Nov 18, 2010
    Joined: Feb 3, 2009
    Messages: 38,538
    Likes Received: 2,806
    Trophy Points: 280
    wewe hujuwi kuwa maalim Seif ni mtoto wa Baba Wa Taifa hili Mwalim Nyerere?Lazima avae Suti ya kijamaa.
     
  9. Saint Ivuga

    Saint Ivuga JF-Expert Member

    #9
    Nov 18, 2010
    Joined: Aug 21, 2008
    Messages: 31,197
    Likes Received: 5,726
    Trophy Points: 280
    seif naona anafurahia kuwa kwenye system sasa hivi
     
  10. afrodenzi

    afrodenzi Platinum Member

    #10
    Nov 19, 2010
    Joined: Nov 1, 2010
    Messages: 17,781
    Likes Received: 1,674
    Trophy Points: 280
    sioni tofauti kubwa ..............................................lol (rangi ya tai na miwani ndo tofauti )lol
    na mwalimu J.K Nyerere amekaa juu zaidi.
     
  11. mzozaji

    mzozaji JF-Expert Member

    #11
    Nov 19, 2010
    Joined: Jul 28, 2010
    Messages: 257
    Likes Received: 3
    Trophy Points: 0
    Nadhani doa inawezekana ni:

    miwani ya jua ndani ya nyumba
    au
    MKPP ni tofauti
     
  12. Katavi

    Katavi Platinum Member

    #12
    Nov 19, 2010
    Joined: Aug 31, 2009
    Messages: 37,621
    Likes Received: 2,805
    Trophy Points: 280
    Na ndio alikuwa anataka hivyo.
     
  13. ghumpi

    ghumpi Senior Member

    #13
    Nov 19, 2010
    Joined: Nov 10, 2009
    Messages: 187
    Likes Received: 0
    Trophy Points: 33
    Mwenye mawami alokaa na Hamad ni nani? anafanana na michuzi
     
  14. Ndachuwa

    Ndachuwa JF-Expert Member

    #14
    Nov 19, 2010
    Joined: Mar 8, 2006
    Messages: 4,137
    Likes Received: 286
    Trophy Points: 180
    Mimi naona Dr Bilal hataki kabisa kumsogelea Mahalim Seif Sharif kaweka mpaka na mkono wa kusho na shingo kaielekeza kulia kwake
     
  15. m

    mageuzi1992 JF-Expert Member

    #15
    Nov 19, 2010
    Joined: Apr 9, 2010
    Messages: 2,513
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 0
    Wote mmenoa aliye tofauti ni Maalim Seif Wenzake wamevaa Suti Nyesi au Dark Blue na shati jeupe wakati yeye kavalia shati jeusi ndani ya suti?????????? Nipigieni makofi basi maana mimi peke yangu ndiye niliyepatia!!!!
     
  16. m

    mageuzi1992 JF-Expert Member

    #16
    Nov 19, 2010
    Joined: Apr 9, 2010
    Messages: 2,513
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 0
    We Kimwentisi Unamshabikia Idd Amin????
     
  17. m

    mageuzi1992 JF-Expert Member

    #17
    Nov 19, 2010
    Joined: Apr 9, 2010
    Messages: 2,513
    Likes Received: 2
    Trophy Points: 0
    Wote mmenoa aliye tofauti ni Maalim Seif Wenzake wamevaa Suti Nyesi au Dark Blue na shati jeupe wakati yeye kavalia shati jeusi ndani ya suti nyeusi wapi na wapi ?????????? Nipigieni makofi basi maana mimi peke yangu ndiye niliyepatia!!!!
     
  18. Kinyungu

    Kinyungu JF-Expert Member

    #18
    Nov 19, 2010
    Joined: Apr 6, 2008
    Messages: 2,807
    Likes Received: 932
    Trophy Points: 280
    Kw amke yupi?
     
  19. Katavi

    Katavi Platinum Member

    #19
    Nov 19, 2010
    Joined: Aug 31, 2009
    Messages: 37,621
    Likes Received: 2,805
    Trophy Points: 280
    Huyo si Balal...................ooooh shit...............sorry.....ni Bilal makamu wa raisi!!
     
  20. RayB

    RayB JF-Expert Member

    #20
    Nov 19, 2010
    Joined: Nov 27, 2009
    Messages: 2,755
    Likes Received: 81
    Trophy Points: 145
    Umepatia lakini hujaeleza ni doa gani, analyse tafadhali
     
Loading...