toka kwa nani? Pm ndo nini kwanza?usije ukapata talaka bure.
Mnaonaje Invisible na Mods wakileta PM za watu wote jamvini kama threads na waandike source ya PM imetoka kwa member gani?guess nini kitatokea....watu kupeana talaka?maadui kujuana?watu watabadili ID zao?
patakua hapatoshi hapa, watu tutabaki haaaa!!!
hivi Huyo invincible hata kwa microscope haonekani?
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day boychangia JF atakuwa visible..ha ha ha ha.