Guess!!! Mhe. alikuwa anaambiwa nini . . . . ?!!

CPU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
3,863
686
Untitled.jpg

Yaani vitu vidogo kama hivi vinakutoa jasho???
 
"Tatizo la Umeme kwangu lilikuwa sawa na kuimeza punje ya mchele . . . . "
 
Dogo nenda kapumzike kwenye hotel yako kule Bilila Lodge achana nao, walikubali kula majani sembuse umeme, si kuna vibatari..........
 
Nilikuambia dogo kila kitu weka CONFIDENTIAL kama mimi wananchi watakuponda

lakini hawatakuchukia saana.... Naona unajuta kuachia File zoote zile za EPA, nanihii, nanihii na nanihii....
 
Nchi umeshindwa kuiongoza na unasafirisafiri sana, au umesahau kuwa wewe ni rais na si waziri wa mambo ya nchi za nje?
 
  • Thanks
Reactions: Aza
View attachment 34067

Usipokuwa makini mdogo wangu CCM watakun'goa kabla ya muda, kinachotakiwa watose washikaji zako fasta fasta kama nilivofanya mimi enzi zangu urudishe imani ndani ya chama. Pia CDM wanakuja juu kwa kasi ya ajabu na wana support ya wananchi so kuwa makini ila nipo kukusaidia usijali. Safari za nje kupunza kidogo hii miaka iliyobaki hebu maliza soo la umeme, TRL na ATC.
 
Naona unapendapenda kubembea, maana kila mara kiguu na njia kwenye madege. Vipi dogo hukusoma chekechea?Kwani pale Lugoba baba yako alikuandikisha ubembee au uuze sura?
 
Dogo unaendelea na hotuba za kila mwisho wa mwezi zitazidi kukuharibia achana nazo....te te te te
 
'Tatizo lako huna akili kucheka cheka tuu ndo maana hata wakinakubenea na Jf wan
akupopoa kila kukicha!' Komaa kiume na kama wakikuzingua wapoteze!
 
Ile chenji ya Radar haijaletwa bado? ikiletwa usinisahau bwana si unajua mimi sasa ni mstaafu na mradi wangu kule kiwira mmeshanizulumu. Sina pesa si unajua hivi vibinti vinasumbu oh mara mzee sina hela leo mara nahitaji 2,000,000 eh! mara nataka kwenda shping na marafiki zangu nahitaji 5,000,000/- nk
 
Back
Top Bottom