GUARDIAN UK: January Makamba fighting corruption in Tanzania

Hata siku moja sijawahi kuona wala kusikia mtu kathibitisha tuhuma za ufisadi dhidi ya Januari Makamba. Watu wametengeneza mabomu humu ndani JF juu yake lakini hakuna hata moja limemkamata kwasababu hakuna ukweli. Hata kwenye newsrooms za magazeti ya Bongo kumepelekwa mizinga wahariri wenyewe wameangalia wakaona ni majungu na wakaogopa kuzirusha hizo habari.
Mkuu evidence za Ufisadi sio rahisi kuzipata, kama vile ilivyo kushika hawa wapokea na watoa rushwa.., lakini ajabu huyu jamaa anataka kutuaminisha kutuma sms itasaidia kutokomeza hili janga... Holy Moly..., kweli binadamu never cease to amaze...,

Kama kweli mpango wake ni kushika waharifu achukue pesa pale PCCB na kwenda nazo kwenye kitengo chochote cha Serikali under disguise kila siku atatoka na watu wa kutosha.. lakini vinginevyo hizi ni publicity stunts za kila siku.. Hizi ndio zile zile Malaria No More et al
 
Mkuu selemani huyu jamaa anaharibiwa na ufisadi ndani chama lakini yeye binafsi amkekuwa mtu tofauti sana. Tukiacha unafiki na kila mtu akamhukumu January honestly, every would sheld these unfounded and stupid claims and bear with him for some little time to prove to the world of his commitment to public service.
 
conclusion: Wajinga ni jamvi, maji ya kunawa na chakula cha werevu na wajanja
 
Mkuu evidence za Ufisadi sio rahisi kuzipata, kama vile ilivyo kushika hawa wapokea na watoa rushwa.., lakini ajabu huyu jamaa anataka kutuaminisha kutuma sms itasaidia kutokomeza hili janga... Holy Moly..., kweli binadamu never cease to amaze...,

Kama kweli mpango wake ni kushika waharifu achukue pesa pale PCCB na kwenda nazo kwenye kitengo chochote cha Serikali under disguise kila siku atatoka na watu wa kutosha.. lakini vinginevyo hizi ni publicity stunts za kila siku.. Hizi ndio zile zile Malaria No More et al

Nadhani hatujui details zote za huu mpango wa rushwa na SMS. Ila nina uhakika tutaujua hivi karibuni. Kwa undani zaidi. Na muda huo ukifika ndio utaweza kutoa opinion zenye mashiko. Kwa sasa haumtendei haki JM.
 
Mkuu, hapa ndipo mimi ninapotofautiana na baadhi yetu humu! Tunapaswa tuwe na genuine appreciation kwenye every good deed someone does, na kiukweli, this guy ni briliant na upstairs yuko fit sana!.

What has he done to make you say he is brilliant and that "upstairs yuko fit sana"?

What has he done or accomplished that others haven't?

I hear people talk all the time about how brilliant he is and this, that, and the third but what exactly about him that make people say that?

Did he graduate summa cum laude? Is he a Nobel laureate?
 
Nadhani hatujui details zote za huu mpango wa rushwa na SMS. Ila nina uhakika tutaujua hivi karibuni. Kwa undani zaidi. Na muda huo ukifika ndio utaweza kutoa opinion zenye mashiko. Kwa sasa haumtendei haki JM.
Foundation nzima ya hii project ni unfounded..., tatizo la Rushwa hapa nchini sio kwamba watu hawajui kwamba hakuna rushwa au hawawezi kufikisha habari kuhusu rushwa.., issue ni kwamba kuna culture ya rushwa na policing yake ni non existent.., sasa unadhani sms itazuia hili vipi ? Mimi nikituma sms sasa hivi kwamba nimempa mtu rushwa.., then what is sms evidence ?,

All in all hii article imejaa self promo and lot of talalila without any substance. Ndio yale yale ya kuleta sheria ya kuforce watu wasidai pesa ya mwaka mzima badala ya kudeal with the actual problem ya serikali / National Housing kujenga makazi ya kutosha kwa wananchi hence decrease demand
 
Amazing, amazing! A while back January was belittling Dr. Slaa for using corruption as an issue of political mileage for him and his party. All of a sudden the same January is a champion in the fight against corruption. It never ceases to amaze me.

And we are told that this guy is "brilliant" and "yuko" fit sana "upstairs".....

Exactly how? Is the question I'd like to ask....
 
The hate hapa inaelekea kufuka Fahrenheit 100

JANUARYPHOBIA iko on a different level jumapili hii....
 
The hate hapa inaelekea kufuka Fahrenheit 100

JANUARYPHOBIA iko on a different level jumapili hii....

What about the promo mongers na cheer leaders...?

Bongo bana full of kujisifia, kusifiana na kujipa self promo.., no wonder hatuendelei we are deeply concentrating kwenye nini nimefanya au nita-spin vipi nilichofanya kionekane kikubwa... mwisho wa siku tunajikuta tuna-make a mountain out of a mole hill kwa kuleta unworkable theories na kuziita innovations... (eti kuripoti rushwa kwa kutumia sms... )
 
..binafsi namtakia mafanikio ktk mradi wa kuwainua wana bumbuli.

..kwa upande uwepo wake CCM unanitia mashaka kama ana nia ya dhati ya kuondosha ufisadi ktk nchi yetu.

..January anaogopa nini kuachana na uchafu ulioko ndani ya CCM??
 
Unashauri ahamie chama kipi?
 
What about the promo mongers na cheer leaders...?

Bongo bana full of kujisifia, kusifiana na kujipa self promo.., no wonder hatuendelei we are deeply concentrating kwenye nini nimefanya au nita-spin vipi nilichofanya kionekane kikubwa... mwisho wa siku tunajikuta tuna-make a mountain out of a mole hill kwa kuleta unworkable theories na kuziita innovations... (eti kuripoti rushwa kwa kutumia sms... )

so it continues

Kuna ubaya gani wananchi wa Bumbuli wakiwa na shirika la maendeleo la Bumbuli kama chachu ya maendeleo ya kwao?

Kwa nini mnachukulia hili jambo?
 
Mkuu Nyani
Tusubiri January atekeleze huu mradi ndio tumpime kwa sasa tukimhukumu bila facts tutamkosea haki bure!
Mkuu you cant judge people in what might happen tomorrow au in the future.., of course huyu jamaa anaweza akafanya jambo kesho ambalo likamfanya awe a nobel prize winner au the greatest man in the world ever... !!!

Kwahio cha kuongelea ni what has happen now au in the past, na hapa tunachofanya ni kujibu hoja regarding the article (self promo) ya kwenye hilo gazeti na kujiuliza is it deserving ?
 
Kwa nini unapinga mradi wa Bumbuli Development Corporation?
 
Nyani Ngabu anajulikana mara zote kwa chuki na wivu mkali dhidi ya Mbunge wangu tangu wako wote shule kwahiyo simshangai sana na ningeshangaa kama angesifu kitu chochote cha Mheshimiwa Makamba. Tukubali tusikubali Makamba sio tu kajaliwa na Mungu akili kubwa na maarifa lakini pia kajaliwa busara na hekima inayofanya kila anayekutana naye na kuongea naye kumheshimu na kuvutiwa naye. Kwa rehema za Mungu sasa ni Kiongozi na kwa rehema hizo hizo za Mungu mtu kama Nyani Ngabu kabakiwa tu na kazi ya kumjadili na kukomaa hadi mishipa ya mwisho kwamba hafai. Sina hakika hata kama Makamba anamkumbuka au hata kama ana muda wa kumzungumzia Makamba. Ndio malimwengu, kuna wanaotenda hata kama wanakosea na kuna wanaojadili. Watakaoingia kwenye vitabu vya historia ni mtu kama Makamba hata kwasababu ya kuthubutu tu. Kwa mtu kama Ngabu chuki na wivu vinamtafuna hadi moyoni na atabaki bila maisha ya furaha hadi anaingia kaburini.

Namuombea Mbunge wangu uvumilivu dhidi ya chuki hizi na mola kwa mapenzi yake atamuangaza na kumfanyia wepesi katika kutimiza malengo ya Bumbuli na kitaifa. Nampongeza kwa kuthubutu. Nampongeza kwamba wenzetu hadi huko nje sasa nao wanaona uwezo wake. Najua mafanikio hualika wivu na ndio maana tunaona haya. Songa mbele Mbunge wangu, songa!
 
Kwa hiyo akitekeleza huo mradi ndo atakuwa "brilliant"?

Mtu anayepata nafasi ya kisiasa bila "kupingwa" huwa simwamini kabisa!

Nadhani hawa ndio watoa rushwa wakubwa!! Kina Mkono & Co!

Sijawahi kuelewa kwa nini watu wanasema huyu dogo ni "Messiah" wa CCM!

Sijui ana akili kubwa kvp??
 
so it continues

Kuna ubaya gani wananchi wa Bumbuli wakiwa na shirika la maendeleo la Bumbuli kama chachu ya maendeleo ya kwao?

Kwa nini mnachukulia hili jambo?
Mkuu I don't know the geezer wala huwa sina muda wa kumuongelea mtu wala kumshabikia / kumchukia.., mimi hapa naongelea facts na issues at hand.., ziwe zimetoka kwa mzee, mtoto au a nobel prize winner (aliyezitoa does not matter to me bali the contents of the issue)

Hivyo basi will kuripoti rushwa by sms itazuia rushwa na je hii ni innovation au ndio zile zile kuleta siasa kwenye kila kitu ?
Shirika la maendeleo kama lipo its well and good lakini je hii ndio short cut au ndio hizo hizo siasa, hivi hao wananchi wakulima mpaka sasa wanahitaji nini zaidi ?, term yake karibia inakwisha sidhani kama matatizo ya usafiri wa bidhaa zao kuzipeleka sokoni yameshakuwa solved... (mkuu back to the basics.., badala ya kuangalia mambo makubwa makubwa ni bora kuanza na madogo na kuwasaidia watu na sio ku-talk the talk na ku-spend time and energy na kujipromote kwenye magazeti)

By the way sijui kama huyu bwana anajua siku hizi mitandao yote kuanzia voda mpaka airtel mitandao in matatizo sana nadhani angetumia muda wake more efficiently na kuongea na hawa mabwana kuona ni nini kimetokea.., hayo ya kuripoti rushwa kwa sms can wait
 
Back
Top Bottom