George Smiley
JF-Expert Member
- Oct 24, 2011
- 471
- 266
- Thread starter
- #521
George Smiley, self appointed heir to Sheikh Yahya Hussein.
Umesahau kundi litakalosoma, kuona fluff, na kutojisumbua kuchangia.
kweli
Hili nalo lipo na wao watakaa pembeni tuu kwani wataona haya ni mauza uza tuu... kundi hili halina muda kujadili watu bali wako bize kujadili issues based on facts na evidence
kundi hili halina muda na mambo ya innuendos na ma speculations. Wao watakwambia kama wana Bumbuli wameridhia na hiil jambo linaweza kuleta mabadiliko mazuri Bumbuli then why not?
Habib Shemweta, Selemani, George Smiley,
Mtambue kwamba suala la January kusemwa sema sio wivu bali ni mwenyewe January kuwa na hulka ya ovyo - ni mtu wa kujikwaza sana, na hili wengi hawalipendi, kumbukeni kwamba chema chajiuza, kibaya chajitembeza. Vile vile hes trying to make watanzania believe kwamab support yake ya Bumbuli ndio reflection ya nchi nzima, wakati ukweli uliopo ni kwamba Bumbuli dont know even the half about huyu mtu wao. January has been groomed na chaka la mafisadi, PERIOD!!!, mtakuja lijua hili au kubali urafiki au ukaribu wenu nae ukiisha au akija filisika na nyinyi sasa ndio muhamie upande wenye ukweli. Vinginevyo kinachombeba ni siasa za kikanda tu ambazo hata kama tunasema hatuna ukabila, kila kabila sasahivi linawekeza kwa wanasiasa wake vijana au wale mahiri ili wamulike kabila/jamii husika kwenye anga za kitaifa, kama vile ilivyo Monduli na majimbo mengine ambapo wabunge wao ni wa ovyo kitaifa lakini wa maaana kijimbo.
Kama alivyotamka nadhani nguruvi3, Let January Keep his Bumbuli while we keep our Tanzania. Vile vile ni muhimu mkagundua kwamba Jamiiforums ni one of the most reliable sources za media orgs za nje kuhusu Tanzania, kwahiyo wanasoma habari hizi, especially mashirika kama BBC. Shirika kama BBC ambalo lina idara ya kiswahili isingeweza kuja na article uchwara kama hii kumfagilia January kama mpambanaji ufisadi wakati BBC inajua fika jinsi gani Mtandao ulivyoingia 2005 na jinsi gani umeharibu governance ya nchi kwa ufisadi, patronage na kuangamiza watu kisiasa. BBC wanasuburia tu the right moment, watayasema kwani waandishi wao wapo humu. Guardian ni magazeti yasiokuwa na interest yoyote ya maana kuhusu governance ya Africa mbali ya kuwa na mtazamo wao wa ki-magharibi.
January kama alitamka hayo London, atakuwa yupo huko kufuatilia nyendo za Chadema katika nchi mbalimbali kwa kofia yake ya Katibu wa NEC idara ya Siasa na uhusiano wa kimataifa. Kazi yake kuu ni kuchunguza halii na mwenendo wa kisiasa ndani na nje in relation to CCM na upinzani. In other words ni kama shushushu wa CCM on that front, sijui kama Zitto analielewa hili.
Ndugu zetu wapendwa, January mtampigia sana kampeni lakini kwa bahati mbaya sana au pengine bahati nzuri, anatokea moja ya mikoa ambayo CCM imekuwa na ngome kali tangia uhuru, hata uchaguzi uliopita CCM Tanga ilishinda kwa karibia 80% of the votes, na hali itaendelea kuwa hivyo kwa muda, lakini huu ni mjadala mwingine. Hivyo, kama mwenzetu Nguruvi3 said, let him keep Bumbuli for himself, sisi we will keep Tanzania for our selves.
Mwisho - msidharau Jamiiforums, huu ni mtandao mkubwa sana, ndio maana January kila wakati ikitokea mada ya kumchafua na yenye hoja za msingi au ushahidi, anakuja kuifuta hiyo thread. Wakati muafaka ukifika, mambo ya January yote yatakuwa hadharani na media zote za kifaransa, kireno, kigiriki n.k zitakuwa na taarifa iliyo uniform. Lakini ni mpaka ngome yake iliyo chini ya Rostam na Lowassa iangamie ndio vita dhidi ya fisadi January itafanikiwa.
No research no right to speak.
The Biased Brainwashing Commissariat aka BBC na credibility wapi na wapi? Let me school you boy, Kwa taarifa yako the BBC's agenda is identical to the Guardian's. The Guardian is run at a massive loss, because few people agree with its politics. It makes its money from hedge funds & similar investments that it condemns in its columns. The BBC uses journalists, named as being from the Guardian, to such a level that it can only be described as product placement. Unlike the Guardian, the small minds like you are forced to buy the BBC rubbish. It's politics are media liberal/ far left, representing 10% of the uk population of taxpaying age, & about 60% of "uni undergrads" who will grow out of such idiocy when they start work. And yes the types of you with colonial mentality whose world revolve around BBC World service. So please spare us the embarrassment
Bukyanagandi, I am too doing my PhD in Canada the same north America. Again I can not say that I am the smartest Tanzanian. Try to find something reasonable and acceptable instead of ballyhoos and ho-ha. I must emphasize that Makamba is the product of nepotism, nhilism, corruption and machinations.
With a mindset like this...you come across as more of a GCSE than a PhD student. Your analytical skills are zero. How can you be so biased without having facts to make up your conclusion?
George Smilley, why should I bring facts to the guys who have no facts except kow tow? Say whatever you deem fit I am who I am and nothing will stop me from being who I am. Take it the bank. Januari is but the product of nihilism, corruption, machinations and what not in this regard.
ulichosema ni ukweli mtupu,kwa kuongezea,ni kwamba wanahakikisha kwanza wanapata ya Boss,inawekwa pembeni,halafu the rest ni yao.
Ni kweli rushwa ni kila mahali,kila taasisi.Lakini ndo maana nasema bila nyundo kugonga kuanzia huko juu,hakuna kitakachobadilika hata wakifungwa manesi milioni moja kama wako.
Viongozi wakuu kwenye grand corruption wawajibishwe kama hujaona hali inabadilika.Kwasababu sasa wananchi watajuwa this is serious,na wataogopa,watakuwa na imani kwamba hata wakitaja mtu kiongozi ama hata hakimu na manesi,watashugulikiwa.
Angalia tu huo mfano wa maofisa wadogo wanaopokea rushwa,kwenye system yetu hii ya magamba,maofisa wote wa chini wakichukuwa rushwa,ujuwe Boss wao ndo mwenye kuchukua fungu kubwa.Na hiyo inaenda all the way hadi juu kabisa.Polisi na traffic wa chini,huwa wanahonga ili wapangiwe sehemu flani flani zenye hongo,kama vile mikoa nk.Nahayo yanajulikana wazi kabisa.
Wakati wa Mwinyi,mwalimu alikuwepo na akakemea,akasema ikulu imekuwa pango la wanyang'anyi,rushwa,depending on what,inafika hadi ofisi ya ju kabisa ni kwasababu sasa hakuna wa kuwasema,ila bado siri zinavuja na wapinzani huwa wanazipata nk.
Hata haya sijui mambo ya mitihani kuvuja,mbona hata si kitu caha ajabu hata kidogo?Everywhere kumeoza.Sasa watu wanapokuja na cheap solutions kama hizi,ndo unaanza kudoubt kama na wao si mafisadi.Kama rushwa ndo tunavyoijuwa,eti bado wanaballs za kuja hapa na kuzungumza na sisi kama watoto wa chekechea.Kama kuna kitu ccm inawaunganisha nacho watanzania,basi ni rushwa,that's the common denominator.
Sasa huyu nayekuja hapa na kusema ama kutajwa na kuwa anapiga vita Tz,mwulize kivipi,hawezi kukujibu,sansana ndo huu mpango wa sms.Inatia hasira mkuu.
So you are doing a Phd in what?George Smilley what the heck is this? Even if you self-cheat thinking you can intimidate me with Shayo's picture, mark my words, I am not moved.
George Smilley PhD in astrophysics.
which university?
What's Makamba's IQ?
What division did he get in his O-levels?
What division did he get in his A-levels?
Did he make the Dean's list throughout college?
Did he graduate summa cum laude?
Mbunge wako ni nani?
Hahaa,
Mzee mwenyewe?
Majina tu yanabadilika, watu wale wale.Mara Curtis Blow, Mara George Smiley...
Huchelewi kukuta hata Pereira yumo humu.
HAHAHAHAHA...
Pereira hii ngoma ngumu sio yake unless aje na majina mengine. Itabidi nimtafute on Facebook
The incomparable Halima Mdee.
wa Kijijini kwenu
means that the guy is "more in for himself"otherwise asingekuwepo ndani ya magamba hii tunayoijuwa.He's just a "polished tard" nuttin else.But there's always fools to buy it...
Sitoki kijijini mimi. Wa mujini mimi.
una maana wewe ni mswahili wa Dar?
Ndiyo...
sehem gani?
Makambaz naona mmejipanga,ntarudi baadae,Nyani Ngabu na Kiranga should be able to handel y'all with nah problem
karibu na Posta au huku maeneo ya Chefs Pride?Mtaa wa Libya
Hahahaaa sitaruhusu waniingize mkenge wa ban hao. Kwanza hawako serious as you can tell.
hivi muda wote ulifkiri kutakuwa na serious discussion humu?
sasa mbona hamjibu?
I'm getting bored. Jmushi na wengine hawaonekani. sasa hapa ulingoni napigana na nani?
Waheshimiwa,
Niliuliza Ndugu January hataweka nini kama collateral atakapoenda kukopa hizo $ 10 millions lakini sijapata jibu?
Let's stop this nonsense! That was a typo and y'all know what I meant. This is a serious issue that merits answers.
toka juzi nakwambia urudi shule usome hutaki unakuja hapa na maswali yako ya kitoto
kajipange upya
So this is what it's all about?
A pompous povertystricken parliament of pound-for-pound pugilistic pageantry?
naaaam
issue ndio hio. humu hakuna mwenye nia ya kujadili issues kilichobaki ni kubishana tuuuu wakichoka watarudi kwenye episodes zao za CHADEMA vs CCM
unfortunately hiyo ndio narrative ilipo humu
So when a person asks you a serious question that is how you respond. Anyway, thanks a lot. I thought this forum was supposed to be a place where people are going to debate important issues; but, it seems the opposite is true.
I debate with my equals, others like you I teach
so far najua hujawahi kusoma any major literary work kama hicho kitabu cha Dostoevsky na kwa kujua how shallow ulivyo umerukia kwenye hiyo jina la kitabu bila kujua maana naye
Tuliza akili unisome vizuri. napingana na hoja ya mpuuzi mmoja humu eti january ni mbunge wa kwanza katika historia ya Tanzania kuja na development trust". Huu ni uwongo uliopitiliza, sasa kama unataka tuingia kwenye mjadala juu ya trusts ipi ni bora kuliko nyingine, ina maana unakubali kwamba ya January sio ya kwanza nchini kwetu. Vinginevyo suala la ubora ni subjective, kwani kuna ubora based on participatory or bottom - up projects ambazo zipo owned na wananchi versus top down trusts kama hizo za January ambazo wananchi wanafanyiwa maamuzi zenye ofisi DSM, New York etc bila ya kujua hata kama hela zao ni halali au lah. Vinginevyo sipo tayari kuingia kwenye ubora kwani hilo halikuwa jambo la msingi hapa, na wala sikulenga kwenye comparative analysis juu ya ubora bali juu ya hoja ya innovation - upotoshaji kwamba eti kabla ya BDC hapakuwa na trusts za wabunge wengine majimboni mwetu!!!
Hakuna hoja hapo, maswali yangu umeyakwepa, ntajadili vizuri hoja yako siku ukipata majibu.
hakuna mwenye nia ya kujibu maswali humu.
Sisemi bali nakuuliza hivi:
IS JANUARY MAKAMBA A SUCCESS STORY TO BE EMULATED BY OTHER YOUTHS IN TANZANIA ASPIRING TO BECOME FUTURE LEADERS IN TANZANIA?
WHAT MORAL AUTHORITY DOES JANUARY MAKAMBA HAVE TO COMMENT ON CORRUPTION IN TANZANIA IN SUCH A WAY? [take into account petty corruption and grand corruption].
That's your best come back on issues I raised? Ama kweli watetezi wa January Makamba ni vichwa hewa kweli kweli, ndio maana wanamuona yeye kichwa sana. Mleteni hapa tupambane nae kwa hoja, aje humu akutane na kina mzee mwanakijiji n.k aone moto. Ni kichwa miongoni mwenu huko huko mnakomsujudia!!
Good, now I rest my case kwa leo when it comes to you, and please msilete tena upuuzi wa fisadi huyu humu. Advice him to keep bumbuli to himself, isituchafulie hewa nchini kwamba eti Bumbuli ndio iwe mfano wa kuigwa. BDC ni mfano wa kukimbiwa na kuogopwa kama ukoma kwani upo based on grand corruption katika nchi yetu na utapoteza vijana wengi kimaadili kwani mkifanikiwa kudanganya umma kwamba hes a success story, TRA vijana wetu wataiba sana, porini tembo na faru watauliwa sana, ili na wao 2015 wakienda majimboni waweze kufikia the threshold ya Bumbuli. Upuuzi Mtupu!!!!