GTV: Ndio tumekula hasara au?

Maskini 'Siri kali' ya Tanganyika!!!? Inakuwa kama vile inaendeshwa na wendawazimu!!! Hii GTV imefunguliwa miaka michache tu iliyopita imewashinda kuendesha wakati TV Station iliyokuwepo miaka nenda miaka rudi ya SMZ bado inadunda!!!!

Mhhhh.this is new to me jamani,nilikuwa sijui kabisa....Kwani GTV inamilikiwa na 'Siri kali' ya Tanganyika?????,au ndo mambo flani ya kupotoshaaaaaaaaaz.....'Job true true'
 
Hili nipigo!!! GTV bei zao zilikuwa poa!! Lakini hao DSTV bei zao ni kwa $$$$$
hivi waTZ hawawezi kufanya biashara hii???
hata TVT au channel ten hawaezi kufanya hili la pay tv???
 
GTV goes into liquidation

Fans across Africa will be missing out on coverage of the Premier League
A company which broadcasts English Premier League football to tens of thousands of subscribers across Africa has gone into liquidation.

Gateway Broadcast Services supplied programmes under the GTV banner to countries from Kenya to Botswana.

As well as the premiership, GTV backed several domestic leagues, including Ghana, Tanzania and Uganda.

The company blamed "the current financial and global crisis" for the move.

This had "severely interrupted the company's abilities to secure further funding", it said in a statement.

Television services have been stopped - with subscribers receiving a short message telling them the channel is off the air.

The company said it had invested $200 million in the business but that "the economic crisis...has caused excessive demands on the business."

Several African football federations and leagues will feel the effects of this sudden move.

The Uganda FA (FUFA) had a five year contract worth $500,000 a year.

GTV were the sponsors of the East and Central African tournament, the CECAFA Cup.

They also sponsored the domestic leagues in Ghana, Tanzania and Uganda.

Fans who watch the English Premier League on GTV will have to find another source of information this weekend, and in the future.

There has been no reaction so far from any of the organisations involved.

"We realise the negative impact this has had on our loyal customers, creditors and staff," GTV said.

"We have tried every possible step to keep the company going but we are all unfortunate victims of the current global economic crisis."


he sponsors of the East and Central African tournament, the CECAFA Cup. They also sponsored the domestic leagues in Ghana, Tanzania and Uganda.

Fans who watch the English Premier League on GTV will have to find another source of information this weekend, and in the future.

There has been no reaction so far from any of the organisations involved.

"We realise the negative impact this has had on our loyal customers, creditors and staff," GTV said.

"We have tried every possible step to keep the company going but we are all unfortunate victims of the current global economic crisis."
 
Tangazo lao lipo: HOMEPAGE | GTV
Kweli ni pigo sana, ni sawa na kurudi nyuma miaka mitatu kwenye uwanja huu wa entertaimnent. Nilifikiri 2010 itakuwa rahisi kwetu lakini wapi.
 
Bila shaka unafikili kuwa GTV ni TV ya serikali...Pole sana! GTV ni Gateway Broadcasting

Hizo chuki zako dhidi ya CCM zitakutoa ushamba siku moja

Muzee Kibs,

Kheri mimi sikusema, maana ningesema ningeambiwa nina chuki na 'wanyenyekevu'...

LOL..
 
Yametimia!

Waliwahi kuja TV-Africa miaka ya 2000 mwanzoni, wakanunua right zote za kuonyesha world cup 2000; lakini baada ya muda si mrefu wakapotea kiaina.

Huu ni utapeli; sijui hela zetu tutamdai nani?
 
Yametimia!

Waliwahi kuja TV-Africa miaka ya 2000 mwanzoni, wakanunua right zote za kuonyesha world cup 2000; lakini baada ya muda si mrefu wakapotea kiaina.

Huu ni utapeli; sijui hela zetu tutamdai nani?

Hili ni pigo kwetu;

Kibaya zaidi ni kwamba tunabaki na useless decorders; Tusipoangalia tutajikuta na decorders zaidi ya 10 ina short while ambazo zote hazina kazi

Ngoja tukimbilie cables sasa kama uhindini vile
 
This is bad news for all football suporters especially in Africa and across the globe in general. We hope that DSTV will secure 100% of the rights so we can continue to watch and suport "our" England teams, and especially my Arsenal. Go gunners!
 
SteveD is in need of help...

...yaani huwezi kuamini hata baada ya kunishtua hapo juu nilikuwa nasoma statement yangu niki-include hiyo preposition hata kuwa sikuiandika. my words were out of synch with my writing, something common i guess. lol
--------------------

....hawa GTV noma sana, mdogo wangu walimpiga mkwara juzi tu hapa ili alipie bill yake in advance kumbe walikuwa wanajua wako matatani...wezi wakubwa!! :(
 
RIP GTV hakuna jinsi ya kukunusuru na kifo. Ni lazima ufe na kutuachia umaskini kwa pesa tulizokwisha kukulipa bila kutupa service.
 
Nimeponea tundu la sindano. Mwezi ujao ilikuwa nihamie GTV toka DSTv. Kwa kuwa "nyungo" zao zinafanana, ningehitajika kununua "kinyumbulisho" kama laki moja na sitini hivi, ikiwamo malipo ya mwezi mmoja. Mimesevu. Ni bahati tu.
Poleni sana mliokuwa GTV. Sasa sijui na huku DSTv tutie maji au ndo tukae mkao wa kula mpira wa Uingereza utarejea full mziki?
 
Yaani tarehe 25/1/2009 nimefanya installation ya GTV nyumbani kwangu siku saba baadae naona kwenye wesites yao kwamba wamefilisika, sijui hata nifanyeje maana nikiwasha tv "we apologize for the break of transmission". Ushauri wenu wanajamii.
 
Yaani tarehe 25/1/2009 nimefanya installation ya GTV nyumbani kwangu siku saba baadae naona kwenye wesites yao kwamba wamefilisika, sijui hata nifanyeje maana nikiwasha tv "we apologize for the break of transmission". Ushauri wenu wanajamii.

Pole sana mkuu. Sina hakika ila nadhani hapo ni kiendacho kwa mganga...!
 
Tumeliwa wengi na mimi ni mmojawapo.Sijui hii decorder niigeuze toy mtoto apate gari?
 
Tuko wengi. Mimi niliitelekeza DSTV kwa sababu ya bei zao kubwa. Kumbe vitu rahisi mara nyingi ni ghali sana! Naikumbuka Greenland Bank, Meridian Bank,...
TCRA mtatusaidiaje? Kuna Advocate yeyote yuko tayari kulisimamia hili?
 
hivi siwezi kutumia the same facilities (dish n receiver) kupunguza costs za kuunganisha DSTV? utapeli huu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom