GTV: Ndio tumekula hasara au?

Game Theory

Platinum Member
Sep 5, 2006
8,545
835
Au UFISADI ushaingia na huko maana kesho nona Games zangu za kutazama halafu sijui vipi maana DSTV nao michosho
 
Habari kuhusu G TV siyo nzuri kwa wapenzi wa michezo Afrika na kwingineko.
G TV imelazimika kusimamisha huduma zake zote.Hii ni kutokana na tatizo la mzozo wa fedha duniani.
Wapenzi wa michezo fuatilieni habari hizi na tuendelee kupeana taarifa ya kinachoendelea ndani ya G TV.
 
Makyao,

You got it right. Inasikitisha SANA na mbaya zaidi watanzania wengi walijiunga na huduma zao wakiachana na DSTV na hata mechi kadhaa nasikia DSTV hawakuwa na rights za kuonesha isipokuwa hawa GTV.

Hii inaweza kupelekea watanzania waliojiunga na GTV kujikuta hawana imani tena na kampuni yoyote mpya itakayokuja kwani watakuwa na donda la GTV.

Kwa mtindo huu, DSTV wanaendelea kuonesha uimara wao katika nyanja hii.

Poleni watanzania mlioingia gharama za kujiunga na huenda msipate 'refund' ya mlichowekeza.
 
GTV is going into liquidation, with immediate suspension of services.. source BBC radio, 30/01/2009 2035PM.

Tried to search the Web for more info without success...
 
noma tupu!! ramifications za credit crunch hatimaye sasa imeanza kutuingia wabongo directly
 
Makyao,

You got it right. Inasikitisha SANA na mbaya zaidi watanzania wengi walijiunga na huduma zao wakiachana na DSTV na hata mechi kadhaa nasikia DSTV hawakuwa na rights za kuonesha isipokuwa hawa GTV.
.

KWELI INVISIBLE,
Si hayo ila,
Watu wengi watakosa kazi na pia mechi za week-end hii tutaanza kuzikosa.
 
GTV is going into liquidation, with immediate suspension of services.. source BBC radio, 30/01/2009 2035PM.

Tried to search the Web for more info without success...

SELEMALA,
You are right that GTV has stoped services.
But what is going to liquidity is GTV's host.
 
Mhh ndio maana mimi nikisema Somalia is better than Tz wengine wananiona hamnazo...

gharama za simu juu.......serikali kimya
chakula juu...serikali kimya...
elimu ghali.....serikali *&**** zake
haya hata basi tusahau kwa kuangalia prison break 24 na kandanda napo pagumu,,,,

kwanini watu wasiwe wezi?
mwaka huu natabiri wakina mama watashika mimba sana.....
 
GTV is going into liquidation, with immediate suspension of services.. source BBC radio, 30/01/2009 2035PM.

Tried to search the Web for more info without success...

Maskini 'Siri kali' ya Tanganyika!!!? Inakuwa kama vile inaendeshwa na wendawazimu!!! Hii GTV imefunguliwa miaka michache tu iliyopita imewashinda kuendesha wakati TV Station iliyokuwepo miaka nenda miaka rudi ya SMZ bado inadunda!!!!
 
Maskini 'Siri kali' ya Tanganyika!!!? Inakuwa kama vile inaendeshwa na wendawazimu!!! Hii GTV imefunguliwa miaka michache tu iliyopita imewashinda kuendesha wakati ile iliyokuwepo miaka nenda miaka rudi ya SMZ bado inadunda!!!!

Bubu, kwani GTV ni ya 'sirikali' !?
 
Kwa wale mlioko Dar, GTV imekuwa maarufu hadi kutoa ushindani kwa DSTV. Lakini leo mchana, ujumbe huu ume-flash kwenye screen yangu!

From: GTV
Titlte: URGENT

With great regret, GTV announces immediate termination of all services.
We will be making a statement in the media.

Wengine tumetoka kulipia bili ya February hata mwezi wenyewe haujaanza, na ukienda ofisini kwao, Wabongo wanagombania kulipa kwenye foleni utadhania enzi zile za bidhaa adimu miaka ya '80.

Wizi mtupu!
 
LONDON – 30 January 2009 - Gateway Broadcast Services announced today that its Board of Directors has unanimously approved a plan to liquidate the Company.

The current financial and global crisis has severely interrupted the company's ability to secure further funding for the continued operation of the business.

The company has worked extensively with external advisors and all internal resources to investigate, evaluate and analyze strategic alternatives for the Company to further continue to operate. In determining to approve the Company's plan of Liquidation, the board and management carefully reviewed the advice and findings.

Gateway Broadcast Services, suppliers of the GTV service to subscribers across Africa has over the last 2 years invested a total of US$200 million and created jobs and competition in the 22 markets. The economic crisis that has emerged globally over the last few months has caused excessive demands on the business.

With immediate effect the service will be withdrawn.

"Increased instability in global markets interrupted our ability to secure funding on an acceptable timescale and have left us no choice but to cease operations," said a company spokesman.

"We realise the negative impact this has had on our loyal customers, creditors and staff, all of who have believed in GTV and the revolution in pay TV it had created. We have tried every possible step to keep the company going but we are all the unfortunate victims of the current global economic crisis."

Thank you.

Rights za Premier league sijui zitakuaje hapo.
 
Maskini 'Siri kali' ya Tanganyika!!!? Inakuwa kama vile inaendeshwa na wendawazimu!!! Hii GTV imefunguliwa miaka michache tu iliyopita imewashinda kuendesha wakati TV Station iliyokuwepo miaka nenda miaka rudi ya SMZ bado inadunda!!!!
Bila shaka unafikili kuwa GTV ni TV ya serikali...Pole sana! GTV ni Gateway Broadcasting

Hizo chuki zako dhidi ya CCM zitakutoa ushamba siku moja
 
Back
Top Bottom