GT Hongera Kwa Kutuuzia Share 4000!!

well, isingekuwa shukrani kwa waliokupongeza bila kurusha madongo kwa the one, mwanakijiji. It tells the story of my life. Ningeshangaa sana kama usingetaja hilo jina. Hongera kwa kuwa so focused juu yangu katika mabandiko yako 4000! Keep up the good work.

sheikh umuhimu wako ndio wanifanya kila nipatapo nafasi huwa sikurushii madongo bali huwa nakupa vijiconstructive criticisms yote ni mapenzi tuu tunakupenda sana ndio maana tunataka uachane na bias na uwe true to the game. Surely mtaji wa kurun your own show sasa hivi utakuwa unao sasa huja haja ya kucompromise objectivity na principles ulizokuwa nazo wakati unaanza kwa flus za hapa na pale

otherwise kama nilivyosema hapo awali you still have a chance to improve na natoa shukrani kwa kunipongeza maana nilifikiri utakuwa umenuna lakini you proved me wrong...endelea kutulea exclusives
 
GT, hii thread ilikuwa ni ya kukupa wewe pongezi kufikisha posts 4000. Lakini kati ya yote badala ya kushukuru wanaokupongeza wewe ukaitumia kwa mara nyingine tena kurusha madongo kwangu. This is becoming unbecoming of you. Ukiwa na jambo unataka kusema kwangu "constructively" unaweza kunitumia PM, kunipigia simu au uniambie nikupigie simu. Unachofanya ni pure nuisance ya hali ya juu.

Wewe pokea pongezi za watu, ukiona kuwa sifanyi kukidhi mahitaji yako au kiwango chako you start your own thing and compete, that is what capitalism is all about, na ukifanikiwa you run me out of my venture. Usilalamike kukosoa tu kama ninakuboa do something about it.

Umeshafiga kuwa nina bias ambayo ninayo kama wewe ulivyonavyo ya kwako; lakini huo ndio ubinadamu wetu. Ukitaka niwe perfect kwa kiwango chako sitokuwa na utakaa kusubiria kwa muda mrefu kweli. I'll do what I do best, anayeona sifanyi jinsi yeye anatamani nifanye au kwa kiwango chake, let him/her go and do it better. Hivi hilo ni gumu sana kufanya?
 
yote mapenzi tuu sheikh hakuna la zaidi

Cheo chako kikubwa ndio maana tunakupenda
 
eebwana, mwanakijiji ni mkali sana siku hizi, mmegundua hili?! :confused:
miye naona wanakijiji wameongezeka sana kijijini kwake hivyo wengine ameshindwa kuwatambua. au wengine hawajitambulishi sawasawa hivyo hauelewi uanakijiji wao, au yawezekana keshawatambua kuwa ni wanakijiji ambao hawafai kuwepo kijijini kwake!
 
I was only offering a an olive branch but looks like its not something you are interested in. Fair enough i will resort to the status quo

Olive branch presuppose an enmity; but since you did offer it I presume you had something against me and hence your constant and enduring bashing of me. Since the status quo (whatever you infer) need to be maintained, keep doing what you have been doing, be you and i'll continue to be me.

Thank you very much.
 
Big up GT...Unajuwa heading nilidhani umeshaanza business bana na watu labda retained earnings ama dividends wamefurahishwa na kuipost habari hiyo hapa....Sasa nikawa najiuliza kuhusu jukwaa la uchumi.
Unajuwa kuna watu wanasema ina bore kuwapa watu big ups and so on....Na kwa hiyo ndugu yetu akaamua awakilishe kwa namna nyingine...Honestly nili click haraka ili nione ni shares gani hizo...
 
Olive branch presuppose an enmity; but since you did offer it I presume you had something against me and hence your constant and enduring bashing of me. Since the status quo (whatever you infer) need to be maintained, keep doing what you have been doing, be you and i'll continue to be me.

Thank you very much.
Reading the above post is like experiencing a rolling mid-life crisis with bouts of paranoia.
 
from what I know, I'm very paranoid of people like you! I really am.. you make me nervous, uncomfortable and sometimes scared and chilly; knowing where you are coming from, the power that you have and the enviable resources at the tip of your fingers siwezi kushindana nayo. So yes, you make me paranoid, I wish you could just leave me alone.
 
Back
Top Bottom