Greetings from Natalia is the best thread i ever read this year

MKATA KIU

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
2,852
6,205
Heshima kwenu wadau,

Hopin wengi hamumjui natalia, so nilikuwa mpweke sana kipindi alipopotea as mods walimpiga Ban baada ya kutupia mi threads ya kumwaga enzi za august.. Nikawa na mawazo sana as Natalia alikuwa ananipa raha sana as nikisoma thread zake.

Bahati nzuri mods wakasikia kilio changu as nilivyoona thread ya greetings from natalia niliripuka kwa furaha as nikajua season 2 is back nijiandae kuondoa stress na thanks to her ameanza polepole kuleta vitu..

Jamani wapi Bebii, Husninyo, Afrodenzi na wengineo wa zamani zile au nanyi mmepigwa ban la maisha...

Natalia amerudi huku anawafunika
 
Anavituko huyo mama

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
As such as Natalia kama ushamtepetea as niko sawa ?
As huwezipenda thrade pekee as bila thrade's owner ! As labda as ....
 
As mume wake mzungu as wealth as extremely underatanding. Kama unampenda Natalia as muambie uhamie majuu anakokaa as mumewe is as moneyed anaweza kuwalea wote.
Japo hatapigwa as ban manake as akiandika thread ubongo anautoa anauweka kwenye as friji. Hata atukanwe vipi as anamsifia mumewe tu.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahaa..umenichekesha wewe..maana ndivyo anavyosema kwenye thread zake..
 
Last edited by a moderator:
Good morning pipoozzz!bibie King'asti as naogopa as kulambwa ban as nilipewa taarifa as prezidaa as alipiga menu as kwa kina natalia.
 
Last edited by a moderator:
Heshima kwenu wadau,

Hopin wengi hamumjui natalia, so nilikuwa mpweke sana kipindi alipopotea as mods walimpiga Ban baada ya kutupia mi threads ya kumwaga enzi za august.. Nikawa na mawazo sana as Natalia alikuwa ananipa raha sana as nikisoma thread zake.

Bahati nzuri mods wakasikia kilio changu as nilivyoona thread ya greetings from natalia niliripuka kwa furaha as nikajua season 2 is back nijiandae kuondoa stress na thanks to her ameanza polepole kuleta vitu..

Jamani wapi Bebii, Husninyo, Afrodenzi na wengineo wa zamani zile au nanyi mmepigwa ban la maisha...

Natalia amerudi huku anawafunika

natalia ndio wifi kwahiyo? Lol
 
As unavyopenda threads zake as ndivyo as unavyompenda as mwenye threads
 
As such as Natalia kama ushamtepetea as niko sawa ?
As huwezipenda thrade pekee as bila thrade's owner ! As labda as ....

ha ha umenichekesha sana
yani mleta thread sipati picha alivyokuwa anaandika
 
Huyu raia @ Natalia ananiachaga hoi sana, mawazo,na akili yake anajua yeye tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom