Grayson Nyakarungu majibu yangu kwa hoja za 'Mbwazoba'

Unipeleke kwako, wewe unanifahamu mimi.
umejuaje niko dar....
mausalama wa ukweli huwa hamusemi n'go.
haya dogo piga kazi nimekuchemsha na umewaka kweli, nahisi unatamani ukinikamata utaninyonya macho, nyie wakurya sio kabisa.


We Mbwa gani usiyeelewa? Nyakarungu amejieleze watu tumefarijika lakini bado unajikakamua pointlessly, au mbwa wa zoba wanafikiri kwa mkia badala ya kichwa?
 
pole sana ndugu yangu nyakarungu Mungu huwa hamfichi mnafiki kumbe ID ya mbwazoba ni yako unaanzisha ishu ili upime akili za watu hata kama utaondoa hiyo post yako uliyojibu tuhuma kwamba wewe ni nurse kupitia id ya mbwazoba tumeisha kusoma, alafu tangia siku ile uanzishe mashambulizi kwa Heche wenye akili tulijua moja kwa moja kwamba ni wewe leo umeumbuka, lakini pia jibu haya kwa kutumia id yoyote kati ya hizo zako mbili, we kama ni daktari umesoma chuo gani? na wewe ni mfawidhi kwenye hospital ipi? acha uongo.

kwa hiyo hata ID ya IGWA ni ya nyakarungu? umekosa point mpaka unaanza kuandika upuuzi mtupu.
 
Unipeleke kwako, wewe unanifahamu mimi.
umejuaje niko dar....
mausalama wa ukweli huwa hamusemi n'go.
haya dogo piga kazi nimekuchemsha na umewaka kweli, nahisi unatamani ukinikamata utaninyonya macho, nyie wakurya sio kabisa.
wewe ni mbwa na ni zoba... kharamu sana wewe

binadamu kaweka mambo wazi, sasa na wewe vua u-mbwa wako na uwe mtu basi

mbwamkubwa we!!!
 
acha kudanganya watu dogo,kama wewe ni mfanyakazi jiji huko unakosafiri tabora,singida,iringa nako unafanya kazi za halmashauri ya jiji? tuambie chuo umesoma wapi usitudanganye kwamba umesoma udakitari wakati wewe umesoma nursing. jiji umeajiliwa lini we nae ni muongo tu. puuuuuh
cr@p.......
 
Nashawishika kusema yafuatayo;

1. Tuwe watu wazima na great thinkers kama JF ilivyo, mipasho, maneno yasiyokuwa na uzito, maana, ushahidi tuyaweke pembeni.

2. Mbwazoba inaonekana una ajenda yako kwa Grayson, embu iweke vizuri zaidi, iwe na uthibitisho tosha wa aidha nakala za barua kadhaa, vyeti n.k zenye kuonyesha hizo tuhuma zako.

3. Kuwa usalama wa taifa si jambo zuri sana kumsingizia au kumnyooshea kidole mtu sababu inaleta picha tofauti sana kwenye jamii. Kama ni kweli Grayson yuko huko(ukithibitisha), na katiba ya CDM haikatazi/haizungumzii mgombea kuwa/kutokuwepo kwenye usalama wa taifa(sina uhakika), naona hiyo haitakuwa point ya maana sana kuizungumzia

4. Grayson nakushauri pia usijibishane na Mbwazoba.

Great thinkers tusaidie hili tatizo!
 
Gray tunashukuru kwa kumjibu huyo mbwazoba. Maana siye tunayefahamu utumishi wako wa kujitolea uliotukuta, tulikuwa tulikuwa tunajua ni uzushi na roho roho ya kwanini ndiyo vilikuwa vinamsumbua huyo mbwazoba ambaye aweza kuwa ni mpainzani wako ktk kinyang'anyiro BAVICHA. Nashauri mpotezee tu. Usijibizane naye, maadam ushatoa ufanunuzi wa hoja zake zisizo na mashiko.
 
jamani mimi sio mbwa, mimi ni mbwazoba na sio mbwa zoba
Nyakarungu said:
iii) Kuwa na uwezo wa kujua mambo mengi,
Kaka/dada mbwa, kila mwenye juhudi za kutafuta maarifa, atayapata na kila mwenye kusubiri ataletewa hayo maarifa, katika kipimo kisichomtosha, mimi ninajuhudi za kujifunza mambo yote yenye manufaa kwa jamii, kwa hiyo sioni kama kuna tatizo la mimi kujua muziki (kuandika, kuimba, kupiga vyombo n.k).
Teh teh teh!Tumekupata.
 
Hivi kweli hawa ndio viongozi watakaokuja kumrithi Dk Slaa na Mbowe? mbona ni kikundi cha wahuni watupu, wameishaanza kufanyiana siasa chafu, nadhani Watanzania wenzangu mmeona kweli hawa ndio wa kuwakabidhi nchi kweli? mimi nawaita 'BAWACHA', Baraza la vijana wahuni wa Chadema, kabla hata ya uchaguzi wao huo wanatukanana ebu angalia hii thread uwaone BAWACHA
 
umri wangu nyie mnaosema eti mimi nawaonea wivu? acheni kukurupuka jamani mimi hata siwezi kupiga kura, na hata mfanyeje ukweli nitausema tu, mnakuja kwa matusi yenu humu..................siwaogopi naendelea kuwapa ukweli wao tu.
ila mimi sina ugomvi na nyakarungu kwa kuwa ameshaweka ukweli na nimemuelewa, na sio peke yangu ninayedhani hayo, kwa kuweka kwake maelezo haya amesaidia.....
na ukiangalia niliyoyasema karibia yote nilikuwa natembea ndani ya nyao zake.
 
Huyu Nyakarungu kuna siku nimemuona star tv kuna kitu alichangia na kumbuka alisema ni daktar kama sio ni mtu wa mambo ya afya nafikir ni kweli aliyoyasema tusipende kuishi kwa hisia
 
Nyakarungu mbona hujajibu hili?
acha kudanganya watu dogo,kama wewe ni mfanyakazi jiji huko unakosafiri tabora,singida,iringa nako unafanya kazi za halmashauri ya jiji? tuambie chuo umesoma wapi usitudanganye kwamba umesoma udakitari wakati wewe umesoma nursing. jiji umeajiliwa lini we nae ni muongo tu. puuuuuh
 
Last edited by a moderator:
nyakarungu ni CO (clinical officer) na sio
daktari kama anavyopenda kujinadi!
 
Back
Top Bottom