Gray Mgonja: Kufikishwa Mahakamani na matokeo yake

Mgonja akielekea mahakani na baada ya kusomewa mashtaka. Check attachments

Mkuu Mwanjelwa umesomeka.
Pamoja na hayo yote, shughuli ni serikali kupeleka ushahidi wa uhakika ili mahakama iweze kutoa hukumu ya haki.Vinginevyo itakuwa ni ''The road map to 2010 general election".
Siku za nyuma imlisemekana kuwa mgonja na mramba walikuwa wapandishwe kizimbani lakini Katibu mkuu kiongozi luhanjo akaingilia kati, sasa hii isije kuwa ni danganya toto ili kujinusuru na hasira za raia waliochoka.
Binafsi siamini kama kweli hawa watu wameshitakiwa ili kutoa onyo na fundisho kwa watumishi wa umma wasitumie vibaya madaraka yao, isipokuwa ni janja tu ya kuwapoza wadanganyika, vinginevyo nitabadili mtazamo hapo nitakaposhuhudia hawa watuhumiwa wakihukumiwa.
 
Wakulu Heshima Mbele,

Haya Mambo tuliyategemea sana kwa kipindi kirefu ila yamekuja kufanyika baadaye sana tukiwa tumechoka na kuzoea.

kila siku nimekuwa nikitaka kumfahamu architecture wa huu Mpango wa kupeleka Vigogo mahakamani.Kwa kiasi flani unanipa hofu ambayo naamini ni kweli.Nasita kumpa heko Muungwana kwa hili

Kuna masuala Mengi sana hapa ukaiamua kuchimba ndani na kwa jinsi issue ilivyo mbunifu huyu atakuwa ni mtu hatari sana na atakuwa na mbinu isiyo ya kawaida.

Nasikia CCCM walishaunda Kamati ya kushinda kwa kishindo kwa Mwaka 2010 na ina watu watno kama sikosei.Kila kikao cha CC wnatakiw akutoa fedback wamefikia wapi na wanata jambo gani.

Kwa taarifa za ndani ni kuwa kila wanalolitaka inabidi lifanyike kwa majadiliano kwanza na wahusika ili kuweka khali sawa.

According to the dataz ni kuwa kabla ya Jeetu Patel(Rafiki mkubwa wa Mzee Ben) Kupelekwa Makahamani wakulu flani waliongozana mpaka kwa Mzee na kuumuuliza wafanyeje.Mkapa aliwashangaa sana na kuwaambia nyie ndiyo wenye maamuzi fanyeni mnavyoona ni sahihi.

Ndiyo maana hata wakati wakina Yona na Mramba wanpelekwa Keko,Masha alikwend akuwaona na kuwaeleza mambo kadhaa.

Lengo lao has ani kurusisha imani kwa wanaanchi kwa staili ya kluchochea mambo kana kwamba CCM inataka kugawanyika ili kudhohofisha Upinzani.Wanatumia njia ya kujiunga nao(yaani wameamua kufanya vile wapinzani wanavyotaka )then ilwe rahisi kwa wao kuwamaliza kabisa.

Ukiangalia kwa undani kabisa,Wapinzani katika mikutano yao yote hawaongelea kabisa masuala ya sera zao ila huwa wanachukua muda mrefu kuongelea Ufisadi.so CCM wanawapa wanachokitaka.

Nakubaliana na zito kunahitajika umoja wa kitaifa kutatua matatizo yaliyopo na bila hivyo mambo yatakuwa mabaya.

Nitaendelea kuwa pa za moto pindi nitakapofanya mazungumzo na mkulu mmoja wa PCCB.

NEWS FLASH:

Somewhere mwakani hata Mwandosya anaweza kupelekwa mahakamani
 
Tanzania niitakayo. Everyone has to be responsible and accountable for their actions.

Kudos Slaa and company. Kudos JF kwa hatua iliyofikiwa.

Sheria ichukue mkondo wa kweli na isiwe danganya toto.

Vuta subira mama.Lets see.Hopefully tutafika tu.
 
Masha alienda kuwatembelea kina mramba kama nani??? waziri wa ulizi??? mwanasheria wao???? au rafiki zake??
 
Mkuu Mwanjelwa umesomeka.
Pamoja na hayo yote, shughuli ni serikali kupeleka ushahidi wa uhakika ili mahakama iweze kutoa hukumu ya haki.Vinginevyo itakuwa ni ''The road map to 2010 general election".
Siku za nyuma imlisemekana kuwa mgonja na mramba walikuwa wapandishwe kizimbani lakini Katibu mkuu kiongozi luhanjo akaingilia kati, sasa hii isije kuwa ni danganya toto ili kujinusuru na hasira za raia waliochoka.
Binafsi siamini kama kweli hawa watu wameshitakiwa ili kutoa onyo na fundisho kwa watumishi wa umma wasitumie vibaya madaraka yao, isipokuwa ni janja tu ya kuwapoza wadanganyika, vinginevyo nitabadili mtazamo hapo nitakaposhuhudia hawa watuhumiwa wakihukumiwa.

You are right! Hizi kesi zote zinatakiwa ziishe na hukumu zitolewe kabla ya 2010. Wasituletee viini macho hapa!

Yaani sasa hivi watu wamesahau kwamba serikali ya JK ina madeni mengi sana toka kwa wananchi. Mfumuko wa bei ya bidhaa, EWURA kushindwa kazi ya kusimamia ushushaji wa bei ya mafuta ambayo imeshuka sana katika soko la dunia, wanafunzi wa vyuo vikuu wote bado wako majumbani baada ya kutimuliwa na hakuna juhudi zozote za makusudi ya kutatua matatizo yao.

Lakini hayo yote yanaonekana kama vile kufunikwa na habari za watuhumiwa wa ufisadi na EPA kufikishwa mahakamani! Ila uzuri ni kwamba hizi sanaa zitaisha kablaya 2010 na bado wananchi watahoji mambo ya msingi.

Kuwafikisha mafisadi mahakamani ni hatua nzuri katika kutengeneza serikali inayowajibika, ila tunaomba iwe ni kweli na sio maigizo! Watanzania wengi bado wanaishi kwenye lindi la umasikini!
 
Mgonja? Yule yule mwenye kiburi leo anaburuzwa mahakamani? Inaelekea mapambano ndio kwanza yameanza.

Asante sana Invisible kwa kutuletea hii breaking news.

Hawa jamaa walijisahau sana na kudhani wanaweza kulihujumu taifa watakavyo.

Asante JK kwa kuendelea kuwafunga kengere mafisadi wakubwa.
 
Na huyu KIkwete atakwenda lini mahakamani?

As far as i kno yeye si bado analindwa na kinga ya Rais.Unaweza ukaamua ukawa kama Muungwana na kumpeleka Mzee wa Utandawazi mahakamani kwa kumtolea kinga ila baadaye sasa inakuja zamu yako kama ukiwa bado una afya njema.

Mgonja? Yule yule mwenye kiburi leo anaburuzwa mahakamani? Inaelekea mapambano ndio kwanza yameanza.

Asante sana Invisible kwa kutuletea hii breaking news.

Hawa jamaa walijisahau sana na kudhani wanaweza kulihujumu taifa watakavyo.

Asante JK kwa kuendelea kuwafunga kengere mafisadi wakubwa.

mmmh naogopa kweli kuamini kuwa hakuna mchezo mwingine zaidi ya huu nyuma ya pazia
 
- Mkuu FDR Jr,

Ahsante wka mwongozo tupo wote hapa kwenye huu ukurasa,

- Mkuu Invisible,

Ahsante kwa hizi dataz za Mgonja kwenda Kisutu, lakini wakuu naomba kuuliza Mgonja ana kesi gani hasa? Manaa juzi nilikuwa ninaongea na mdomo wa farasi mwenyewe akanimabia kua kama sio Mgonja, serikali isingejua kuwa kuna ufisadi wa EPA maana ndiye mtu wa kwanza kumshitua Meghji kuwa zimeibwia sio kama Balali alivyomshauri kuwa zimechukuliwa na security. au?

Halafu wakuu huko London, the dataz ni kwamba mstaafu wa idara yupo hapo ninapoandika, sasa mnaojua zaidi eti mkuu naye nasikia anapewa walinzi na serikali kama mawaziri wakuu na rais? Maana kuna mtu amenibonyeza kua amemuona na walinzi eti hii ni kweli au?

Anyways saa ya kibaruani sasa, later wakuu!

Mkuu FMES,

Japo haiingiliani na hii topic ila ni kweli huyo Mkulu alikuwepo. Sijui kama ameondoka lakini
alikuwepo akiendelea kutesa kama kawaida yao. Mafisadi bado wanaendelea kutanua kwa expenses za wananchi maskini.
 
Lini Mkapa atafikishwa kizimbani?

Na kweli hawa mwisho wa siku watapatikana na hatia au watakuwa exonerated?
 
i168_Mjonjamahakamani.jpg

Gray mgonja akiwa mahakama ya kisutu leo kabla ya kusomewa mashtaka yake,hapo akiwa chini ya ulinzi wa askari
 
You are right! Hizi kesi zote zinatakiwa ziishe na hukumu zitolewe kabla ya 2010. Wasituletee viini macho hapa!

Yaani sasa hivi watu wamesahau kwamba serikali ya JK ina madeni mengi sana toka kwa wananchi. Mfumuko wa bei ya bidhaa, EWURA kushindwa kazi ya kusimamia ushushaji wa bei ya mafuta ambayo imeshuka sana katika soko la dunia, wanafunzi wa vyuo vikuu wote bado wako majumbani baada ya kutimuliwa na hakuna juhudi zozote za makusudi ya kutatua matatizo yao.

Lakini hayo yote yanaonekana kama vile kufunikwa na habari za watuhumiwa wa ufisadi na EPA kufikishwa mahakamani! Ila uzuri ni kwamba hizi sanaa zitaisha kablaya 2010 na bado wananchi watahoji mambo ya msingi.

Kuwafikisha mafisadi mahakamani ni hatua nzuri katika kutengeneza serikali inayowajibika, ila tunaomba iwe ni kweli na sio maigizo! Watanzania wengi bado wanaishi kwenye lindi la umasikini!

Unaweza tatua jambo moja likaleta faraja kwa mengine yote. Hivyo ndivyo wanafalsafa wengi wanafanya. Hapa JK anahitaji kukamata wote waliotimba mali ya umma na baadaye kuwadhibiti wanaofikiria hivyo. Then, ajira, umaskini, afya, barabara, ,,say the list,,,, vinakufa natural death instantly.
 
Anameremeta Mgonja anameremeta...
Baba baba, baba huyo baba, baba huyo baba...

...mgonja huuuyo... baba mgonja huyo baba mgonja huyo baba
...anamereemeta,anameeremeta anameeremeta
...ururrurru urur rururururu bail bail bail(vigelegere)...bilioni tatu bilioni tatu baba unameremeta!
 
Plse tunaomba updates za Chenge pia as of todays position. maana wengine tupo nje ya jiji. Wenzetu mlioko bongo jijini tuhabarisheni.

Thanks invisible for the breaking news.
 
list haitakuwa imetimia bila Mkapa, of course pamoja na Anna, kupelekwa Kisutu. wametuibia sana hawa. aoundolewe kinga ili ajibu tuhuma. Anna alitumia u first lady kujinufaisha binafsi.
JK ili wewe mwenyewe uonekane safi hawa lazima uwapeleke mahakamani. kwa kufanya hivyo na wewe itakufanya uheshimu dhamana uliyopewa.

Hao subiri kwanza uchaguzi wa 2010 ukaribie, unadhani tukiwapeleka wote kwa pamoja leo hii tutapata wapi pa kuombea kura 2010?

Au hujui kwamba Watanzania ni watu wa matukio? Na hata magazeti yetu nayo yanakwenda kwa kufuata upepo wa matukio! Kaaeni mtulie, hao tunawahifadhi mpaka June 2010.

Baada ya uchaguzi kesi zote zitaishia hewani, na wachache wataokuwa wafungwa watakata rufaa na rufaa zao zitasikilizwa na watashinda na kusafishiwa majina yao!!! PERIOD!!
 
Good news,lakini issue sio watu kufikishwa mahakamani tu then watu 32 meno nje,je Kikwete,mahakama,majaji wako huru??? au this is a game?? Mi bado sijafurahishwa hata kama Mkapa na yeye akipanga lile Isuzu la kijani,nitafurahi tu endapo haki itatendeka na mmoja wao kama si wote akitiwa gerezani.
 
A prison term and a fine. They cannot be allowed to keep their ill-gotten wealth
 
Back
Top Bottom