Gray Mgonja: Kufikishwa Mahakamani na matokeo yake

Eeh...
Ili kulipiza kisasi basi ni vema nae akawaburuza kina Slaa kortini, to even the score. He promised, didn't he?
 
majaji tu. Mahakimu hapana.

mkuu kesi hizi ziko ktk level ya mahakama ya hakimu mkazi siyo mahakama kuu.

Kwahiyo likizo za majaji hazina hitilifu na mwenendo mzima wa wakulu kusulubiana huku chini kwanza, zaidi ya yote issue ya dhamana tayari ishapata mwongozo wa mahakama kuu kutokana na ile rufaa ya akina mramba,yonah na mwakosya dhidi ya maamuzi ya hakimu mkazi hezron mwankenja, hapo automatically kesi yoyote itakayofanana na hizo itafuata maamuzi ya jaji mwaikugile dhidi hakimu mwankenja full stop.
 
- Mkuu FDR Jr,

Ahsante wka mwongozo tupo wote hapa kwenye huu ukurasa,

- Mkuu Invisible,

Ahsante kwa hizi dataz za Mgonja kwenda Kisutu, lakini wakuu naomba kuuliza Mgonja ana kesi gani hasa? Manaa juzi nilikuwa ninaongea na mdomo wa farasi mwenyewe akanimabia kua kama sio Mgonja, serikali isingejua kuwa kuna ufisadi wa EPA maana ndiye mtu wa kwanza kumshitua Meghji kuwa zimeibwia sio kama Balali alivyomshauri kuwa zimechukuliwa na security. au?

Halafu wakuu huko London, the dataz ni kwamba mstaafu wa idara yupo hapo ninapoandika, sasa mnaojua zaidi eti mkuu naye nasikia anapewa walinzi na serikali kama mawaziri wakuu na rais? Maana kuna mtu amenibonyeza kua amemuona na walinzi eti hii ni kweli au?

Anyways saa ya kibaruani sasa, later wakuu!
 
So they had to wait until the criminal gets his retirement benefits!

Umegonga kwenyewe kabisa,, nanaashilia kusema kuwa wamesha 'weka vitu sawa' (wameshaipanga kesi yote na mali zote) ndo wanatupiga na mchanga machoni kutuambia wanawapeleka mahakamani... mi bado naamini kuwa hii ni kampeni ya uchaguzi 2010
 
Reporter wetu anasema Mgonja hajaletwa ila kuna mmoja wa EPA kaletwa na bado hajapanda kizimbani, hawajajua ni nani. Ila kuna fununu Mgoja ataletwa. Vyanzo vya ndani vinamtaja directly Mgonja yupo Kisutu.
 
Currently Active Users Viewing This Thread: 98 (39 members and 59 guests)
Ngongo, Belo, bill, Binti Haki, Byabato Kilama, chaka, Congo, Dark City, don, duzo, Edo, edwinito, Freetown, Iteitei Lya Kitee, Kichuguu, Kigogo, Kimambo, King Zenji, Kinyamana, kunda, Malunde-malundi, Middle, Mlalahoi, Mr. Zero, msasa, mutua12, MwakyJ, Mzeemundu, Mzuzu, Najikopa Mwenye, Ng'azagala, Njimba Nsalilwe, tikerra, tofty, Tuandamane, watu

Duh wakuu wanafuatilia !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Ni lazima tufuatilie japo ni changa la macho angalau inaleta faraja....... Kazi kweli kweli...... eti mgonjwa naye Kisutu? Apelekwe tu kwani yeye ni nani si sawa na Kibaka tu wa kuku japo yeye kaiba kuingi zaidi
 
... lakini wakuu naomba kuuliza Mgonja ana kesi gani hasa? Manaa juzi nilikuwa ninaongea na mdomo wa farasi mwenyewe akanimabia kua kama sio Mgonja, serikali isingejua kuwa kuna ufisadi wa EPA maana ndiye mtu wa kwanza kumshitua Meghji kuwa zimeibwia sio kama Balali alivyomshauri kuwa zimechukuliwa na security. au?

Mkuu FMES,

Hivi Meghji ndio alie ibua soo la EPA ? Hii ni mpya kwangu. Nilidhani ni kina Dr. Slaa. Nilidhani Mgonja na Meghji ndio walikua the usual suspects from day 1, sasa wangewezaje kuji-implicate kwa kujiibulia soo ?

Na huo mdomo wa farasi mwenyewe uliyeongea nae ni nani, DPP au Mgonja, au Kikwete mwenyewe ?

Halafu wakuu huko London, the dataz ni kwamba mstaafu wa idara yupo hapo ninapoandika, sasa mnaojua zaidi eti mkuu naye nasikia anapewa walinzi na serikali kama mawaziri wakuu na rais? Maana kuna mtu amenibonyeza kua amemuona na walinzi eti hii ni kweli au?

Mstaafu wa Idara ndio nani ? Mbona umekuwa na mapungufu ya confidence kwenye ku-spell out the info?
 
Back
Top Bottom