Graphic: Madhara ya sigara ktk picha

Hizo photoshop tu mkuu usiogope sana hakuna Camera inaweza kupiga picha ya hivyo ndani ya mwili wa mwanadamu

Teh teh
 
Sigara ndiyo inachangia pato kubwa la kodi kuliko kitu kingine chochote Kile
 
Mlipewa viungo vizimaaa.ona mnavyoviharibuu.mtakwenda kujibu.aliyegundua sigara na pesa.na pombe.mungu awalaani.
 
mvutaji anajua madhara ya sigara haina haja ya kutishana na mapicha yote hayo..!!pia mnaharibu soko la tumbaku ambalo cash crop hapa nyumbani
 
Back
Top Bottom