Graphic designer!

yahoo

JF-Expert Member
Sep 9, 2011
3,527
1,405
Mambo vp washikaji.Nimesoma maswala ya graphic design,program zote unazozijua pia im cartoon artist,nimefanya kazi kwenye media miaka 4 but nikatulia bila kufanya hiyo kazi kwa mwaka mzima,im very creative LAKINI kwa hiyo kazi nemisahau kidogo ,atakaye nipa kazi atanipa muda wa wiki mbili bila malipo,alafu baada ya hapo atanikubali mwenyewe....piga 0714 593354
 
Kwanza kaka yangu nahisi ni vyema uwe specific kwa programu gani ulizozisomea, so far nina uzoefu wa zaidi ya miaka mitano katika graphics na ninazifahamu programu kadhaa kwa mfano: (Adobe package: PS,AI,AE,PP,AU,BR,FL/AN, n.k) ambazo hizo tu zina CS3, CS5,CS6, na sasa CC "kwa kila moja". Ukiachana na hizo kuna product tofauti mamia na mamia kama Smith Micro, Autodesk n.k zenye product mingi ndani yake. Sasa sijajua wewe u-vyema katika zote ZOOOOTE ama zote kivipi.

Hii itakusaidia kaka hata mwajiri akitokea ajue umemaster nini zaidi.
 
Bila kusahau blender,cinema 4D na Maya.....
 
Back
Top Bottom