Grand malta na kisukari

Emeka Onono

Senior Member
Jul 3, 2011
114
15
Jaman naomba kuuliza wanajf,hivi ukiwa unakunywa grand malta kila siku inaweza kupelekea kupata ugonjwa wa kisukari? Kwasababu naona ina sukari sana,msaada plz!
 
Jaman naomba kuuliza wanajf,hivi ukiwa unakunywa grand malta kila siku inaweza kupelekea kupata ugonjwa wa kisukari? Kwasababu naona ina sukari sana,msaada plz!
Vitu vyenye sukari sana vinaweza kukupatia kisukari hasa kama kwenye familia yako kuna hako kahistoria ya kisukari. Kama kahistoria kapo jaribu kukata matumizi yako ya sukari itakupunguzia kero za kisukari
 
Tumia kinywaji cha Balltica-bia isiyokilevi

Lipia promo, contact Invisible.

Kisukari ni one part hereditary and one part bad lifestyle+poor eating habit+no exercises+all that comes in between. If you can fit Grand Malt somewhere there then ....
 
Good answer, isipokuwa kwenye kahistoria,which means genetics,jambo ambalo sikubaliani nalo.Hizi sababu ni za ki-Freemason ambao siku zote hufundisha watu uongo ili kujaribu kuficha ukweli hasa kwa mambo ambayo they have got a hand.Kisukari kinasababishwa to a large extent na kongosho kushindwa kufanya kazi yake vizuri.Which means kama ukila sukari nyingi, ita-accumulate in the blood system.So kwa vyovyote vile kula sukari nyingi sio jambo la busara,kwa vile pamoja na kuhusishwa na kisukari,pia ina madini mengi ya P hosphorus ambayo yana accumulate kwenye lens na hatimaye kuleta upofu.

Back
Top Bottom