Graduation: UDSM GRADUANDs 2012

MFYU

JF-Expert Member
Jun 28, 2012
505
68
..kwa wale walomalza UDSm June 2012 ,graduatiön date imerudishwa nyuma hadi 27th October (cluster A-Postgraduate,CASS na Law) othr courzes ni 3rd Nov 2012 (coet,conas,Udbs etc)

..u have to confirm ur attendnce b4 Octbr 4 2012!

...Nawasilisha
 
Nawashauri kwa wale wasio kuwa na deni lolote wapewe vyeti kabisa kama vyuo vingine wanavyo fanya baadala ya kusubiri mwaka mmoja upite kwani huo ni usumbufu na HAKUNA sababu ya msingi kufanya hivyo.
 
Tetesi: naskia,em nat sure,vyet vya mliman vnatengenezwa London Uingereza ili kuzuia kufoji...dt y huchukua mwaka
 
Tetesi: naskia,em nat sure,vyet vya mliman vnatengenezwa London Uingereza ili kuzuia kufoji...dt y huchukua mwaka

Swala hapa si eneo au mahali panapo tengenezwa.Bali ni muda uwe mfupi ili wahusika waweze kuvitumia pale vinapohitajika waathirika wa hili wanaelewa nasema nini.
 
Back
Top Bottom