Graduate recruitment

AKON

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
213
45
hamjambo wana jf,, vipi kuna mtu aliapply juz juz kale ka tangazo ka graduate kwenye zoom?? any updates?
 
Ndiyo mkuu. Nadhani week hii walikuwa wanapigia watu simu kuwaita kwenye training kesho. Jamaa yangu alipigiwa jana.
 
Kaaga hivyohivyo na ubishi wako. Inategemea na udadi ya watu wanaohitaji, sasa kama imetosha wataendelea tu kusubiri tarehe? Au may be wanaita watu kwa awamu. Watu wamepigiwa simu mkuu kuwa training ni tarehe 13 alhamisi saa tano asubuhi. Kama unabisha basi endelea kusubiri.
 
they have called me today in the morning!,,, trainning kesho pale millenium towers saa tano,,,,,,.. kuna mwenye details nyingine? af inakuwaje trainning bila interview?
 
they have called me today in the morning!,,, trainning kesho pale millenium towers saa tano,,,,,,.. kuna mwenye details nyingine? af inakuwaje trainning bila interview?

hiyo ni ile kazi yetu ilee ya kutembeza bidhaa za forever living....Me nitakua wa kwanza kukuungisha ukiikubali kazi, Nataka dawa ya mswaki maan!
 
jamani mliotoka kwenye hii training naombeni mtujuze yaliyojili hko millenium towers.
 
Mimi ni mmojawapo, nilipigiwa simu na nilenda pale Millenium towers ilikuwa alhamisi iliyopita....tulikuwa wengi takriban watu 200 hivi....walio-graduate chuo mwaka huu na kurudi miaka ya nyuma...kikubwa zaidi walitupa TRAINING ya Ujasiriamali/Kujiajiri/Ajira bianfsi.....nimeipenda ilikuwa NZURI.....binafsi imenifungua mawazo/fikra. Baada ya training...kwa yule anayehitaji kufanya nao kazi inabidi kuwasiliana nao ili wakuite.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom